Naishi DSM na ninapenda sana viatu ila hapo hakuna kiatu ni MALAPULAPU hayo ni maviatu ya watoto 2a shule wavaa mlegezo na wakubwa wachache wapuuzi huku bongo viatu tunavaa mwaka mmoja tuu huko USA unavaa kiatu miaka mitano??? Duuu lqzima mtakuwa na kipato kidogo sana na mkija bongo mtachoka yaani haya MANDULA ndio tununue $200 tell me u r not seriois, kwa taarifa yako hapa Mwenge na Kijitonyama kuna viatu vinayoka Europe yaani laki na nusu $100 unapata kiatu boraa kwa sisi mawakili unaingia nacho court, church na kwenye meetings sasa haya mandula unaenda nayo wapi Club au Outings na wachumba.Tatizo watu wa diaspora mnadharau mnafikiri tuko nyuma hayo kauze Central Africa na Lubumbashi kwa wakata viuno hapa humpati mtu.