ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
fortyforty trabatra bima rakini pia zhakiem bar na pale zhakiem uwanjani kwenye vitrimotro vya haja aisee...🐒Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali.Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-
1.Tabata Magengeni
2.kimara korogwe-Tabata kimanga
3.tabata kimanga-Ubungo riverside via jeshini road
4.kariakoo(hii angalau kila mtu)
5.mbezi Makonde
6.kivule
Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi
Je wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?
KARIBU MJINI, KARIBU KWA MAMA KIZIMKAZIMimi sina eneo ambalo lazima nipatembelee maana kwanza sipajui. Ila siku nikienda Dar nitajitahidi nifike Mlimani city napasikia panatajwa tajwa sana.
Asante mkuuKARIBU MJINI, KARIBU KWA MAMA KIZIMKAZI
Coco muhimu sanaUkija dsm jitahidi ufike coco bichi
Ukifika usisahau kwenda Daraja la Tanzanite ukasafishe macho sio unaishia kuliona kwenye TV tuHaya wenye mji wenu mnaitwa
Dar ni mkoa! Ni kubwa mno na kote kumejengeka hakuna mapoli. Jaribu kuwaza mkoa wako wenye wilaya kibao alafu zimeunganishwa kwa majengo! Ndivyo ilivyo Dar! Na kila wilaya zina viunga vya miji na mitaa iliyojengeka na watu wanaendesha maisha yao kivyao. Kwa mfano mimi nimekaa Dar miaka zaidi ya 40 wilaya ya Kinondoni, lakini sijawahi kwenda Mbagara! Kwahiyo mbagara sikujui na sijui kama nitakuja kwenda kwasababu sina issue ya kunipeleka kule kila kitu nakipata ndani ya wilaya ya kinondoni na wilaya ya ilala!Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:-
1. Tabata Magengeni
2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga
3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via Jeshini Road
4. Kariakoo(hii angalau kila mtu)
5. Mbezi Makonde
6. Kivule
Hio ndo mitaa ambayo nina masela wengi wa kutulia nao mitaa mingine siielewi
Je, wewe lazima ukasaini wapi iwe umekuja kikazi,kibinafsi au kwa dharura?
Mh? Wahaya tena?? eucaTemeke kwa wahaya na sugar ray sokota
Ukija siku nishtue nikutembezeMimi sina eneo ambalo lazima nipatembelee maana kwanza sipajui. Ila siku nikienda Dar nitajitahidi nifike Mlimani city napasikia panatajwa tajwa sana.
Nitakusindikizawanakojiuza wachina