Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

fortyforty trabatra bima rakini pia zhakiem bar na pale zhakiem uwanjani kwenye vitrimotro vya haja aisee...🐒
Mkuu 40/40 haipo tena, kuna small planet hapa pembeni ya figo anaweza chips, hujaja bima longtime duuuh, 40/40 ilijifia three years ago...kwanza kuanzia bima, mpaka segerea mwisho kuitafuta Kinyerezi pamebadilika sanaaaa
 
Bar au lounge ipi inabamba kwa sasa ? Uko tabata
 
Sasa nipo dar Ila kila siku lazima niende kimboka piga uwa galagaza Yani hata nikiambiwa wale madada Poa hawapo wamekimbia kwaajili ya dolia ya police basi lazima niende nikahakikishe..
Tatizo husalimii watu ningekupa namba ya mmiliki wa kimboka bwana Gandolf, Tall black, angekurahisishia kazi yako unayoendaga kufanya mkuu..
 
Bar au lounge ipi inabamba kwa sasa ? Uko tabata
Masauti ipo mangumi, Segerea lounge ipo segerea stand, Mazembe ipo kama unaenda seminar pale segerea shell, Tabata hotel, ipo kituo cha camp kama unaenda mawenzi, defransee kimanga mwisho, The Great, alafu kimanga kuna kimanga kipya nimekisahau jina, kinyerezi kuna BL, alafu KUBWA la maadui hatari kuliko yote kinyerezi ni The VOICE, kama unaenda bonyokwa kuna HI 5, aloo ni mengi sana
 
Umetisha arifu kunywa Serengeti kwa bill yako 😂😋👊
 
Tukija tushukie wapi? Ndio UDoM sijui au milimani sita sijui wanaita
 
Ndugu yangu si tunafuataga nyomi, kuna siku kunakuaga na nyomi kinomaa.....saivi noma ni The VOICE... pana hype kinomaa.. ..
Mie sio mtu wa starehe, ila pale naonaga wanajaa watazamaji wa mpira.

The VOiCE hii ya kinyerezi msikitini? Pale pako kistarehe, hata j3 asubuhi watu wako vibes hatari.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nipo dar Ila kila siku lazima niende kimboka piga uwa galagaza Yani hata nikiambiwa wale madada Poa hawapo wamekimbia kwaajili ya dolia ya police basi lazima niende nikahakikishe..
Mkuu nipo na KIMBOKA MWENYEWE..anasema ukifika usikae now choma ndani kashangae...NIPO NA GANDORF KIMBOKA...VIUNGA VYA DASLAMAAA
 
Back
Top Bottom