Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Mkuu 40/40 haipo tena, kuna small planet hapa pembeni ya figo anaweza chips, hujaja bima longtime duuuh, 40/40 ilijifia three years ago...kwanza kuanzia bima, mpaka segerea mwisho kuitafuta Kinyerezi pamebadilika sanaaaafortyforty trabatra bima rakini pia zhakiem bar na pale zhakiem uwanjani kwenye vitrimotro vya haja aisee...π
Bar au lounge ipi inabamba kwa sasa ? Uko tabataMkuu 40/40 haipo tena, kuna small planet hapa pembeni ya figo anaweza chips, hujaja bima longtime duuuh, 40/40 ilijifia three years ago...kwanza kuanzia bima, mpaka segerea mwisho kuitafuta Kinyerezi pamebadilika sanaaaa
Tatizo husalimii watu ningekupa namba ya mmiliki wa kimboka bwana Gandolf, Tall black, angekurahisishia kazi yako unayoendaga kufanya mkuu..Sasa nipo dar Ila kila siku lazima niende kimboka piga uwa galagaza Yani hata nikiambiwa wale madada Poa hawapo wamekimbia kwaajili ya dolia ya police basi lazima niende nikahakikishe..
Masauti ipo mangumi, Segerea lounge ipo segerea stand, Mazembe ipo kama unaenda seminar pale segerea shell, Tabata hotel, ipo kituo cha camp kama unaenda mawenzi, defransee kimanga mwisho, The Great, alafu kimanga kuna kimanga kipya nimekisahau jina, kinyerezi kuna BL, alafu KUBWA la maadui hatari kuliko yote kinyerezi ni The VOICE, kama unaenda bonyokwa kuna HI 5, aloo ni mengi sanaBar au lounge ipi inabamba kwa sasa ? Uko tabata
The VOICE ipo kinyerezi msikitiniBar au lounge ipi inabamba kwa sasa ? Uko tabata
Umetisha arifu kunywa Serengeti kwa bill yako πππMasauti ipo mangumi, Segerea lounge ipo segerea stand, Mazembe ipo kama unaenda seminar pale segerea shell, Tabata hotel, ipo kituo cha camp kama unaenda mawenzi, defransee kimanga mwisho, The Great, alafu kimanga kuna kimanga kipya nimekisahau jina, kinyerezi kuna BL, alafu KUBWA la maadui hatari kuliko yote kinyerezi ni The VOICE, kama unaenda bonyokwa kuna HI 5, aloo ni mengi sana
Ok shukrani kakaThe VOICE ipo kinyerezi msikitini
Hapo ni hatari braza Yan kama ijumaa, jumamosi na jumapili ni noma sana... Kama unaenda kifuru kuna G7...hatariiiOk shukrani kaka
Ooh inaonekn location zimetulia!!Hapo ni hatari braza Yan kama ijumaa, jumamosi na jumapili ni noma sana... Kama unaenda kifuru kuna G7...hatariii
Hivi G7 si ya kuangalia mpira tyuuh, mbna sioni km ina hype ya kuwa sehemu ya starehe.Hapo ni hatari braza Yan kama ijumaa, jumamosi na jumapili ni noma sana... Kama unaenda kifuru kuna G7...hatariii
Ndugu yangu si tunafuataga nyomi, kuna siku kunakuaga na nyomi kinomaa.....saivi noma ni The VOICE... pana hype kinomaa.. ..Hivi G7 si ya kuangalia mpira tyuuh, mbna sioni km ina hype ya kuwa sehemu ya starehe.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mie sio mtu wa starehe, ila pale naonaga wanajaa watazamaji wa mpira.Ndugu yangu si tunafuataga nyomi, kuna siku kunakuaga na nyomi kinomaa.....saivi noma ni The VOICE... pana hype kinomaa.. ..
Mkuu nipo na KIMBOKA MWENYEWE..anasema ukifika usikae now choma ndani kashangae...NIPO NA GANDORF KIMBOKA...VIUNGA VYA DASLAMAAASasa nipo dar Ila kila siku lazima niende kimboka piga uwa galagaza Yani hata nikiambiwa wale madada Poa hawapo wamekimbia kwaajili ya dolia ya police basi lazima niende nikahakikishe..