Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa VIBARAGA hivi hapa chini kwenye picha..
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa VIBARAGA hivi hapa chini kwenye picha..
Rekebisha kwanza NGARA (siyo Ngala).
Hivi vitafunwa vinaitwa KABARAGARA; kwa wenyeji itabidi kuwasiliana na BAKITA kuvitoholea jina lake maana huku kwa wajanja wa kiswahili hakuna hii kitu!
Vitamu hivyo! Halafu ukivihifadhi vizuri hadi wiki nzima viko fresh tuu!
sina uhakika sana kama ni vyenyewe ila kwa picha vinakuwa kama ndivyo, mbeya vinaitwa VIBAMA, vinatengenezwa kwa mchanganyiko wa ndizi sukari/mbivu zilizopondwa kwa mkono na unga wa muhogo then zinatenezwa kwa umbo la round tayari kwa kuviweke kwenye mafuta!
aaaahh kumbe ni ndizi kisukari na muhogo mi nilihisi kama unga wa mahindi au hata mahindi yanafaa pia..
VIBAMA hivyo,
Unga wa mahindi unafaa pia haufai, unafaa kwa sababu unaweza tumia na ukapata kitu kama hicho, haufai kwa sababu VIBAMA vyako havitakuwa so delicious kama ukiweka unga wa Muhogo, lakini pia unaweza changaya unga wa muhogo kwa kiwango kikubwa na unga wa mahindi hasa dona kwa kiasi kidogo sana! Jaribu kama unapenda!
NB: Mi naongelea kwa context ya mbeya zaidi although Ngara ni home pia!