Kwa wale wa Ngala na Karagwe, hiki ni nini?

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
27,767
Reaction score
6,575
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa kabaragara hivi hapa chini kwenye picha..

attachment.php
 
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa VIBARAGA hivi hapa chini kwenye picha..

hivi hapa kwenye picha..
 
Attachments

  • kibaraga.jpg
    kibaraga.jpg
    76.1 KB · Views: 521
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa VIBARAGA hivi hapa chini kwenye picha..

He he he nilikula sana nilipokuwa primary school....
 
sina uhakika sana kama ni vyenyewe ila kwa picha vinakuwa kama ndivyo, mbeya vinaitwa VIBAMA, vinatengenezwa kwa mchanganyiko wa ndizi sukari/mbivu zilizopondwa kwa mkono na unga wa muhogo then zinatenezwa kwa umbo la round tayari kwa kuviweke kwenye mafuta!
 
Habari zenu wanaJF Chef naomba kwa wale wanaojua kutengeneza hivi vidude nimekula leo vitamu sana vinaitwa VIBARAGA hivi hapa chini kwenye picha..

Rekebisha kwanza NGARA (siyo Ngala).
Hivi vitafunwa vinaitwa KABARAGARA; kwa wenyeji itabidi kuwasiliana na BAKITA kuvitoholea jina lake maana huku kwa wajanja wa kiswahili hakuna hii kitu!

Vitamu hivyo! Halafu ukivihifadhi vizuri hadi wiki nzima viko fresh tuu!
 
Du! Umenikumbusha enzi za shule huko bukoba,kuna jamaa alikuwa anatuletea kama bites,
 
Rekebisha kwanza NGARA (siyo Ngala).
Hivi vitafunwa vinaitwa KABARAGARA; kwa wenyeji itabidi kuwasiliana na BAKITA kuvitoholea jina lake maana huku kwa wajanja wa kiswahili hakuna hii kitu!

Vitamu hivyo! Halafu ukivihifadhi vizuri hadi wiki nzima viko fresh tuu!

hiyo ngara ni mpaka mod ndio aibadilishe..
 
sina uhakika sana kama ni vyenyewe ila kwa picha vinakuwa kama ndivyo, mbeya vinaitwa VIBAMA, vinatengenezwa kwa mchanganyiko wa ndizi sukari/mbivu zilizopondwa kwa mkono na unga wa muhogo then zinatenezwa kwa umbo la round tayari kwa kuviweke kwenye mafuta!

aaaahh kumbe ni ndizi kisukari na muhogo mi nilihisi kama unga wa mahindi au hata mahindi yanafaa pia..
 
Unga wa mahindi unafaa pia haufai, unafaa kwa sababu unaweza tumia na ukapata kitu kama hicho, haufai kwa sababu VIBAMA vyako havitakuwa so delicious kama ukiweka unga wa Muhogo, lakini pia unaweza changaya unga wa muhogo kwa kiwango kikubwa na unga wa mahindi hasa dona kwa kiasi kidogo sana! Jaribu kama unapenda!

NB: Mi naongelea kwa context ya mbeya zaidi although Ngara ni home pia!
 
Nmevla bukoba kipind nasoma Buyekera primary kuna huyo mmama alkuwa anpka vtamu balaaa.
Balagara au Komunyo
 
thanks much mkuu ngoja nitavijaribu kutengeneza..
 
Nmevla bukoba kipind nasoma Buyekera primary kuna huyo mmama alkuwa anpka vtamu balaaa.
Balagara au Komunyo

kila mtu anaongelea shule ya msingi kweli vya kitoto zaidi..
 
Back
Top Bottom