Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Kwa wale wote mliozaliwa Narumu tukutane hapa, ruksa pia ambao hamkuzaliwa ila wazazi ni Wanarumu, mimi nimezaliwa Narumu kijiji cha Usari Isareni, Mzee Ketani Mambito ni jirani yangu, Narumu inapatikana Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro imepakana na Wilaya ya Moshi DC kwa upande wa mashariki, imepakana na vijiji vya Manushi Sinde na Ndoo na vinginevyo, Narumu ina vijiji vitano:
Ambavyo ni:
(1).Usari
(2).Orori
(3).Mulama
(4).Tella
(5).Ulali.
 
Back
Top Bottom