Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

Inasemekana Narumu kuna ushirikina sana unaosababisha kasi ya maendeleo ipungue, haya ni ya kweli?
 
Kwa wale wote mliozaliwa Narumu tukutane hapa, ruksa pia ambao hamkuzaliwa ila wazazi ni Wanarumu, mimi nimezaliwa Narumu kijiji cha Usari Isareni, Mzee Ketani Mambito ni jirani yangu, Narumu inapatikana Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro imepakana na Wilaya ya Moshi DC kwa upande wa mashariki, imepakana na vijiji vya Manushi Sinde na Ndoo na vinginevyo, Narumu ina vijiji vitano:
Ambavyo ni:
(1).Usari
(2).Orori
(3).Mulama
(4).Tella
(5).Ulali.
Shimbon shafo
 
Back
Top Bottom