Kwa wale Wachaga wa Narumu tukutane hapa

”Asante sana mkuu,uko wapi?”

Nadhani amemaanisha hivyo,lakini kwanini hakujawa na lugha moja official ya kuwasiliana wote tukaelewana?
Nimefanya tafiti nikagundua tunatofautiana kimatamshii hasa unapotoka Tarakea mpaka ufike west

Mfano rombo tunasema hivi

Vashaka vose shamesha Ila ukifika mwika na kuendelea

V inakuwa w sh inakuwa ch

Inakuwa hivi wachaka wose chamecha

Umeona tofaut

Haya jamaa hapo ananiambia

rera kishaka kwa kikibosho

Lkn kwetu tunasema teta kishaka

Kuna sehemu kasema shiwore voo

Kwetu ni kure foo ...... Unaona tofaut za herufi sasa hzo tofaut sijui zilitokana na nn

Kwa sasa nipo Dar es salaam Ila ni mwenyeji wa Tarakea Rombo asili ya kina Urassa ukoo wetu ni lyamungo sinde!
 
Ahaa hapo sawa kaka. Na mi nipo dsm kimara
 
Back
Top Bottom