Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Iggedy stiggedy style ya DAS ilikuwa copied sana kwa wakati ule.

Rappers kibao wa miaka ya 90 waliiiga.

Fu-Schnickens nao waliitumia sana hiyo style.
Nani waliimba ile Tic Toc? Ni hawa Das efx?
Nakumbuka kuna wale Onyx goma lao Slam likipigwa tunageuka wehu dance floor
 

Bwahahaaaaaaaa! eti Ku-rewind na kalamu............!!!!!
Mwana umenikumbusha mbali sanaaa kipindi hicho na mimi ni msanii wa HipHop!
Nilikuwa nimezijaza sana hizo makitu ndani kwetu aisee, maza akatakaga kuzichoma eti zinanifanya niwe muhuni kama 2pac!!!!😀😀😀😀

Nilikuwa napenda sana ngoma hizi:
1. Busta Rhymes- Dangerous

2. Dr Dree- Keep their heads ringing

3. De La Soul- Trying People

Thanks maaan!
Umenikumbusha mbaliiiiii sanaa mkuuu!
 
Still dre ya dr dre...fugela ya fugees...thriller michael jackson...hit em up mzee tupac...massawe ya fred zagamba...sugu ya mr II
 
Duh 80s...
Kipindi hicho ukiweza kufuga afro vizuri halafu huku chini ukatupie suruali zetu zile pana kwa chini basi ukienda disco ikifika ile mida ya kuwika kwa jogoo la kwanza basi lazima uondoke na akina Paprika upeleke gheto!!
 
Mimi nilikuwa tofauti sana na watanzania, mimi nilikuwa napenda sana miziki ya kihindi hasa ile iliyokuwa ikihusu mapenzi na ndio maana mpaka sasa imeniathiri sana katika uhusiano wa kimapenzi. Kuna movie moja iliitwa Dil Tera Aashiq nilipenda sana miziki yake.
 
Kipindi hicho ukiweza kufuga afro vizuri halafu huku chini ukatupie suruali zetu zile pana kwa chini basi ukienda disco ikifika ile mida ya kuwika kwa jogoo la kwanza basi lazima uondoke na akina Paprika upeleke gheto!!
Bwaga, kweli ya kale ni dhahabu
 
Guru one of my best... RIP

Big L, rest in peace

"You can feel the realness"

[Haters took this shit too far, son
So that's all for you, I'm wipin' out your whole team
I'll splatter your dreams with lyrics to shatter your schemes] hapa alikuwa anaongelea waliomuua Big L haters took this too far...
 
Sijui nianzie wapi,ila nilikua naskiliza karibu kila wimbo au album iliyo 'hit' in 90's

From RnB,hip hop,souls mpaka blues! This was the time when music was on its peak,infact mpaka leo siwezi kuskiliza music kama sio za 80's na 90's

All in all LOST BOYS still my favourite rap group...LB FAM FOR LIFE
 
Bobby brown-Good enough
Black box-Fantasy
Black box-Everybody everybody
Time social club-Rumours
Kym sims-Too blind to see it
Steve winwood-Higher love
Tina turner-What's love
Baltimora-Tarzan Boy
Randy Crowford-You might need somebody
Cathy dennis-C'mon and get my love
Jimmy cliff-Reggae night
Total contrast-takes a little time
The whisper-I can make it better
Aretha franklin-Who's zoomin who
Culture club-Karma chamelion
Toto-Rossana
Karyn white-secret rendezvous
Madonna-who's that girl
Massivo-loving you
The Commodores-Nightshift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…