Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani waliimba ile Tic Toc? Ni hawa Das efx?Iggedy stiggedy style ya DAS ilikuwa copied sana kwa wakati ule.
Rappers kibao wa miaka ya 90 waliiiga.
Fu-Schnickens nao waliitumia sana hiyo style.
Mimi nilikuwa nasikiliza sana Dr. Dre Chronic 1,2...Snoop Dogg Doggy Style...Fabolous....Tupac All Eyes on Me....Warren G Regulate...Jay Z Blue Print Vol 1,2,3...Naughty by Nature O.P.P. Hip Hop Hooray
Enzi hizo hamna ku download mwendo cd au tape za ku-rewind na kalamu
View attachment 653858
Hii ngoma yake ilikua hits Kali kuwah kutokea.Huyu jamaa alikuwa mweusi kama lami
Kipindi hicho ukiweza kufuga afro vizuri halafu huku chini ukatupie suruali zetu zile pana kwa chini basi ukienda disco ikifika ile mida ya kuwika kwa jogoo la kwanza basi lazima uondoke na akina Paprika upeleke gheto!!Duh 80s...
Gz up hoez down
ice cream -wu tang clan
jeru the damaja
cl smooth
Pharaoh month
krs 1
Nakumbuka enzi hizo miaka ya themanini mwishoni wimbo wa Casanova by Gerald Levert ndo ulikuwa Mungu wangu wa pili!
Hahaha...
Bwaga, kweli ya kale ni dhahabuKipindi hicho ukiweza kufuga afro vizuri halafu huku chini ukatupie suruali zetu zile pana kwa chini basi ukienda disco ikifika ile mida ya kuwika kwa jogoo la kwanza basi lazima uondoke na akina Paprika upeleke gheto!!