Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

Kwa Wale Wahenga, Ulikuwa Unasikiliza Muziki Gani....?

"Home is sweet" na miziki ya Zaire enzi hizo iko kwenye santuri, zinapangwa halafu inadondoka mojamoja!
 
Hakuna kama Rhumba, ikipigwa African Jazz za akina Joseph Kabasele, Dr. Nico,, Franco Luambo na Vitu vya Afrisa internationale Tabu ley basiii moyo unatulia
 
papa wemba,

nakuhitajiiii mpenzi wangu nakuhitaji ,unaniita,lol

latifaa MB Dog

zuwena nitampata wapiiii

mapenzi yangu yaweke usiyatoe asilani,,,,

kuku kapanda baskeli ,bata kavaaa raizoni,lol mr nice
 
Kuna track moja ameimba Rakim,nas na wengine... siikumbuki jina ila kwenye video Rakim amevaa gwanda... beat nafikiri ni ya Premier...

Aseeh, it was dope mazee.
Unaizungumzia "classic" mkuu, rapa kanye west alikutana na ma-emcee kwenye hii track wakamfanyia humiliation
 
papa wemba,

nakuhitajiiii mpenzi wangu nakuhitaji ,unaniita,lol

latifaa MB Dog

zuwena nitampata wapiiii

mapenzi yangu yaweke usiyatoe asilani,,,,

kuku kapanda baskeli ,bata kavaaa raizoni,lol mr nice
Hii ya Mr Nice sio miaka ya 2005?
 
Survivor ya kidume Nesta Marley mpaka Leo still my favourite.

Kipindi hicho walikiki pia kina

Adina Howard
Mill va nill
Rocksette
Fresh prince (will smith)
Fugees
 
Ulivyosema home sweet home nikajua zinapotoka hizo nyimbo ndio home
Hapana hata Zaire sijagika nimesema "home is sweet NA miziki ya Zaire". Tuko pamoja Muhenga.
 
Sijataja kama natafuta ndugu.

Hayo mafuta nayasikia kwako.
Vuta subira utawapata ndugu zako tu, sasa hivi humu kila mtu amekuwa "YOU KNOW WARA AM SAYING"
Kipindi we bado unajipaka yale mafuta ya kula ya USA mwilini, wao walishaanza kutumia Bright light.
 
Back
Top Bottom