Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaizungumzia "classic" mkuu, rapa kanye west alikutana na ma-emcee kwenye hii track wakamfanyia humiliationKuna track moja ameimba Rakim,nas na wengine... siikumbuki jina ila kwenye video Rakim amevaa gwanda... beat nafikiri ni ya Premier...
Aseeh, it was dope mazee.
Soul to Soul.. back to life
Hii ya Mr Nice sio miaka ya 2005?papa wemba,
nakuhitajiiii mpenzi wangu nakuhitaji ,unaniita,lol
latifaa MB Dog
zuwena nitampata wapiiii
mapenzi yangu yaweke usiyatoe asilani,,,,
kuku kapanda baskeli ,bata kavaaa raizoni,lol mr nice
Si Mzaire imetokea tu kuipenda miziki yaoWewe ni mzaire?
Mdundiko huku kwetu KwamtogoleHizi hazikuwa ngoma?
Ahahahaha ha wazee wa hip hop mdundikoKaniachia mume wake kafwata mdundiko x2 mezea mezea. Ki luxury ki luxury Mwenge Kariakoo
We Jamila shilingi imekuponza.
Hapana hata Zaire sijagika nimesema "home is sweet NA miziki ya Zaire". Tuko pamoja Muhenga.Ulivyosema home sweet home nikajua zinapotoka hizo nyimbo ndio home
...watoto ndizi nyama wanapokutana
Vuta subira utawapata ndugu zako tu, sasa hivi humu kila mtu amekuwa "YOU KNOW WARA AM SAYING"
Kipindi we bado unajipaka yale mafuta ya kula ya USA mwilini, wao walishaanza kutumia Bright light.
.,e bhana mkuda em kwanza niazime ndula hilo na mimi nipigie bakora uswazi kwetu!Weee mkudaaaa!