Kwa wale walimu wazoefu na watarajiwa em piteni hapa for a while..............

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,358
Habari zenu wapendwa!!....... Kama mnavyoona tetesi zilivyonyingi kuhusu ajira za walimu mwaka huu,ni mwendo wa danadana tu na kupigwa karenda ila hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho,subira yavuta heri!! Ndo mambo ya serikali yetu hayo hatuna budi kuwa wavumilivu(esp for those who lost opportunities)anyway................. Lengo la uzi huu ni kupeana mauzoefu tu juu ya changamoto tutakazokumbana nazo huko vituoni hasa kwa siye fresh from schools siyo mbaya kama nyie walimu wazoefu mkatujuza ama kutuambia walau jinsi ya kujipanga na kukabiliana na changamoto hizo huku tukiendelea kusubiri badala ya kuilaumu serikali ama kulalamika humu hadi wengine kutukana mitusi loh! mana hapa nshatishwa miye ooh mshahara hadi miezi 6!! Sijui unaenda kukaa kwa mwenyekiti wa kijiji sijui mwalimu mkuu jamani!! Hakuna kuhama na blah blah kibao haki ya nani!!............... So ningependa tuambizane hapa which is which?.......Karibuuni saana walimu wenzangu(angalau tuliwazane kipindi hiki)(simu yangu haina paragraph mtanisamehe)
 
kweli huku changamoto zipo kibao mf degree level unakaguliwa na form four yani i mean mratibu kata
 
aisee! Balaa! Kwahiyo hapo changamoto ni kwamba anakuwa hajui mipaka ya kazi yake ama ndo vile wanakuwa wakali kwavile ni level ya chini?
 
Utakutana na minyooo mingine kama di..wa.ni hasa wa c.cm wanaboa!acha kabisa lakini kinachoboa zaidi ukisimama na binti mda mrefu lazima ukosane na mkuu wako eti unamfiligita!
 
khaah jamani minyoo? Nimecheka ujue btw kwahiyo hiyo ni changamoto moja wapo kwa walimu wa kiume mmh hapo mnakazi! Inabidi kuwa nao makini mana wanafunzi wengne wa kike ni majanga!
 
tuwasubiri wadau watujuze!!

Miez6 haifiki, siku hizi ukifika tu unapewa chako kabisa ya kujikimu na pia mshahara wa mwez husika lakini hii inategemea na wilaya husika uliopangwa maana wilaya nyingine maafisa wazembe
 
ya kujikimu ni kiasi gani??
 
ya kujikimu ni kiasi gani??

Halmashauri za majiji na manispaa wanatoa tsh 65,000 kwa siku 1' utapewa kujikim fedha ya siku 7 inamaana 65,000 x 7' halaf halmashauri za wilaya wanatoa tsh 45,000 kwa siku 1 inatolewa ya siku 7 inamaana 45,000 x 7
 
mh..kahela kazuri.
 
mmh haya asante kwa ufafanuzi!
 
RSR! Hiyo hela ya kujikimu ni kwa level gani??? Cheti, stashahada au shahada?
 
Last edited by a moderator:
Kwa cheti na diploma pesa ya kujikimu ni sh 30 elf kwa cku na shahada n shlng 45 elf,
 
Back
Top Bottom