Kwa wale walioko kwenye ndoa tu, watupe majibu.....

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
 
Mtu wa kwanza ni baba au mama maana ndio mwenye uchungu na mwanaye na ataweza kumsapoti mwanae 100%, hao wengine mke au mume hao kukikimbia wakat wa shida nikitu ya kawaida
Kwa mfano uko hoi kitandani unaumwa,kama una mke/mume atakayekuwa anakuhudumia ni mama/baba?
 
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?

Mke au mume! Ninyi ni mwili mmoja, huna pa kulikwepa hili!

NB: Unapokuwa kwenye ndoa iwe mume au mke, jitahidi kuwa muwazi katika kipato japo kwa asilimia fulani!

Ukificha ukayumba mwenzio hakuelewi, ndipo migogoro inapoanzia! Mwisho wa siku unalalama kakukimbia wakati wa shida, kumbe nyakati zako hazielewi na anajua unapretend tu!
 
Na wanaosema mama/baba tuwafikirieje mkuu?
 
Ukishaolewa au kuoa hakuna tena cha baba au mama.

Mtajadili na mwenzio mkiwaamua kuwaambia wazazi ndipo mfanye kwa uamuzi mmoja!

Baba yako na mama yako pia wana wazazi na wao wanafanya hivyo?
Umeeleweka mkuu,nadhani wengi watajua umuhimu wa mke/mume kwenye ndoa
 
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
Swali halina uhalisia. Iweje upatwe na changamoto z kiuchumi , kazi, MARADHI n.k. mkeo asijue? ama mkeo ni MKE basi msamiati wa KUMSHIRIKISHA hautamhusu. Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mtu wa kwanza ni baba au mama maana ndio mwenye uchungu na mwanaye na ataweza kumsapoti mwanae 100%, hao wengine mke au mume hao kukikimbia wakat wa shida nikitu ya kawaida

Childish! Ukikua utaelewa kuwa baba yako na mama yako unawaacha pale unakula kiapo cha kuwa mwili mmoja na mwenzio kanisani au msikini!

Baba yako na mama yako nao wanakwenda wapi?
 
Back
Top Bottom