Kwa wale walioko kwenye ndoa tu, watupe majibu.....

Kwa wale walioko kwenye ndoa tu, watupe majibu.....

Swali halina uhalisia. Iweje upatwe na changamoto z kiuchumi , kazi, MARADHI n.k. mkeo asijue? ama mkeo ni MKE basi msamiati wa KUMSHIRIKISHA hautamhusu. Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwa mtazamo wako ni yupi atakuwa wa kwanza kumshirikisha,na ni kwanini?
 
Changamoto za kwenye ndoa hushirikishana wanandoa kwanza ili kuweza kupata utatuzi, iwe ni kwa mume kumshirikisha mkewe au kwa mke kumshirikisha mumewe. Ikiwa ni nje ya uwezo wao wanandoa kuweza kutatua basi wazazi ndio hushirikishwa.

Tahadhari:
Changamoto za kwenye ndoa si vizuri kumshirikisha asie na ndoa wala rafiki.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Uko sahihi
 
Mifumo ni tofaut mzee kwako inaweza ikawa ivyo lakin kwa wengine ikawa tofauti, au wataka mifumo yote iwe sawa

Childish! Ukikua utaelewa kuwa baba yako na mama yako unawaacha pale unakula kiapo cha kuwa mwili mmoja na mwenzio kanisani au msikini!

Baba yako na mama yako nao wanakwenda wapi?
 
Mifumo ni tofaut mzee kwako inaweza ikawa ivyo lakin kwa wengine ikawa tofauti, au wataka mifumo yote iwe sawa

Hakuna mfumo wa hivyo mbaba na hata ukioa hakuna mwanamke/mume atakuvumilia! Migogoro itaanza tu na ndoa itasepa!

Kwa mawazo yako haya, bado sana nenda kajifunze maisha ndipo ukumbuke ndoa

Maandiko yashasema utamwacha baba na mama yako......!
 
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
Kabla sija changia mada, naomba nikuulize kama upo kwenye ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa kwanza kushirikishwa ni Mme/Mke itakapobidi kushirikisha wazazi na ndugu wengine itafanyika hivyo.
 
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
[/QUOTE
Kwa ndoa imara wa kwanza kumwanbia lazima awe mume au mke. Maana huyo ndiye mwandani wako wa kujua siri zote
 
Mimi huwa inategemeana na hali ya mawasiliano yetu kwa muda huo.Kama hayapo poa wala siwezi mwambia.
siwezi mwambia Baba wala mama ishu zangu mpaka hali yangu iwe mbaya kiasi kwamba siwezi fanya lolote basi hapo narudisha mpira kwa kipa.
 
Back
Top Bottom