Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kweli mkuu,na kwa nini iwe hivyo?Mimi nijuavyo ni mke /Mme hapo nimemaliza, lakini sijui kwa wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mkuu?
Kwa nini mkuu?Mimi sijaoa Ila hata nikija kuoa mtu wa kwanza Naona Atakuwa rafiki tu no more
"Mke wa masikini kuwadi mumewe"
Kwa mfano uko hoi kitandani unaumwa,kama una mke/mume atakayekuwa anakuhudumia ni mama/baba?Mtu wa kwanza ni baba au mama maana ndio mwenye uchungu na mwanaye na ataweza kumsapoti mwanae 100%, hao wengine mke au mume hao kukikimbia wakat wa shida nikitu ya kawaida
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
Ni kweli,Je sababu kuu ni ipi?Wakwanza kujua ni mke au Mume,
Provided Mawasiliano na mahusiano yenu yapo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanaosema mama/baba tuwafikirieje mkuu?Mke au mume! Ninyi ni mwili mmoja, huna pa kulikwepa hili!
NB: Unapokuwa kwenye ndoa iwe mume au mke, jitahidi kuwa muwazi katika kipato japo kwa asilimia fulani!
Ukificha ukayumba mwenzio hakuelewi, ndipo migogoro inapoanzia! Mwisho wa siku unalalama kakukimbia wakati wa shida, kumbe nyakati zako hazielewi na anajua unapretend tu!
Na wanaosema mama/baba tuwafikirieje mkuu?
Umeeleweka mkuu,nadhani wengi watajua umuhimu wa mke/mume kwenye ndoaUkishaolewa au kuoa hakuna tena cha baba au mama.
Mtajadili na mwenzio mkiwaamua kuwaambia wazazi ndipo mfanye kwa uamuzi mmoja!
Baba yako na mama yako pia wana wazazi na wao wanafanya hivyo?
Kwa mfano uko hoi kitandani unaumwa,kama una mke/mume atakayekuwa anakuhudumia ni mama/baba?
Swali halina uhalisia. Iweje upatwe na changamoto z kiuchumi , kazi, MARADHI n.k. mkeo asijue? ama mkeo ni MKE basi msamiati wa KUMSHIRIKISHA hautamhusu. ThinkKwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
Mkuu,una uzoefu na hili kwanza?Kwenye ugonjwa mke kidogo anaye nafasi yake lakin hawezi feel pain kama baba au mama akiwa anamhudumia mwanae
Mtu wa kwanza ni baba au mama maana ndio mwenye uchungu na mwanaye na ataweza kumsapoti mwanae 100%, hao wengine mke au mume hao kukikimbia wakat wa shida nikitu ya kawaida