Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #21
Kwa mtazamo wako ni yupi atakuwa wa kwanza kumshirikisha,na ni kwanini?Swali halina uhalisia. Iweje upatwe na changamoto z kiuchumi , kazi, MARADHI n.k. mkeo asijue? ama mkeo ni MKE basi msamiati wa KUMSHIRIKISHA hautamhusu. Think
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Swali halina uhalisiaKwa mtazamo wako ni yupi atakuwa wa kwanza kumshirikisha,na ni kwanini?
Uko sahihiChangamoto za kwenye ndoa hushirikishana wanandoa kwanza ili kuweza kupata utatuzi, iwe ni kwa mume kumshirikisha mkewe au kwa mke kumshirikisha mumewe. Ikiwa ni nje ya uwezo wao wanandoa kuweza kutatua basi wazazi ndio hushirikishwa.
Tahadhari:
Changamoto za kwenye ndoa si vizuri kumshirikisha asie na ndoa wala rafiki.
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
Childish! Ukikua utaelewa kuwa baba yako na mama yako unawaacha pale unakula kiapo cha kuwa mwili mmoja na mwenzio kanisani au msikini!
Baba yako na mama yako nao wanakwenda wapi?
Mifumo ni tofaut mzee kwako inaweza ikawa ivyo lakin kwa wengine ikawa tofauti, au wataka mifumo yote iwe sawa
Kabla sija changia mada, naomba nikuulize kama upo kwenye ndoa?Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu.....
Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye awe mtu wa kwanza kumshirikisha?
[/QUOTE
Kwa ndoa imara wa kwanza kumwanbia lazima awe mume au mke. Maana huyo ndiye mwandani wako wa kujua siri zote
ha ha ha nipo mkuu