Kwa wale waliopunguzwa kazini (USAID na wengine)

Kwa wale waliopunguzwa kazini (USAID na wengine)

Kiroba cha unga 8000 kg ngapi kinakaa mwezi na kupita? 😹
Labda km yuko peke yako na mara nyingi anakula nje, ila huo akipika ugali km wa wasukuma week hatoboi 🤣
 
Mchele debe 35? Labda chenga..!
Halafu unasema una familia ya watoto wanne unakaa mwezi na kupita? 😹
Una utani wewe rudia tena hesabu zako..!!

Inategemea uko wapi!! Debe ina kilo 20, ukicheza vizuri hadi kwa 30 unapata, mmezoea kununua zile za korie au mama alaska
 
Kiroba cha unga 8000 kg ngapi kinakaa mwezi na kupita? 😹
Labda km yuko peke yako na mara nyingi anakula nje, ila huo akipika ugali km wa wasukuma week hatoboi 🤣

Nimesema baadhi ya vitu na pia inategemea mko wa ngapi, kwangu mwezi unakata vizuri tu
 
Ndiomana nimesema huo utakuwa ni ule chenga mixer na mawe mengi…!!
Ila mchele kweli grade one hiyo pesa hapati hata mkoani tusidanganyane hapa.

Yaani huna hela alafu ukatafute grade 1??? Ila wanawake mnarudisha nyuma maendeleo, tena huo sio wenye chenga kwa taarifa yako, huo dukani kwa mangi unauzwa 1700 kwa kg, ww unanunua jumla
 
Yaani huna hela alafu ukatafute grade 1??? Ila wanawake mnarudisha nyuma maendeleo, tena huo sio wenye chenga kwa taarifa yako, huo dukani kwa mangi unauzwa 1700 kwa kg, ww unanunua jumla
Sasa ulitakiwa uweke wazi ni aina gani ya mchele, 1700 ni chenga na una mawe bwana.!!
 
Back
Top Bottom