Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,060
- Thread starter
- #101
Kuna Idara ya Public Policy hapa chuoni kwetu ilikuwa inatoa scholarships nyingi sana kwa nchi za Afrika, Caribbean, Amerika ya Kusini na Asia kwa kutumia sponsorship ya USAID ili kuwafundisha walengwa namna ya kuongoza jamii zao kwa ufanisi na vile vile kuwapa influence ya Marekani hata watakaporudi makwao. Jana nimesoma barua ya mkuu wa chuo kuwa idara hiyo itakuwa streamlined na hivyo wale wataalamu African Studies, Asian Studies, Caribean Studies, Andean na Amazonian Studies wajiandae kuagwa; watapunduzwa zaidi ya kumi.
Aisee ni pigo kubwa