Kwa wale waliopunguzwa kazini (USAID na wengine)


Aisee ni pigo kubwa
 
Me mwenzio sijafikia umri wa kustaafu Ila nilipata family issue ikaniweka mbali na ajira wakanisimamisha kazi. Nina mishe zangu huwa nafanya Ila kwa vile ile ni fedha ni halali yangu naenda ichukua

Kweli kabisa muhimu kuchukua
 
Huu Uzi umenikumbusha kufwatilia HeLa yangu nssf ya kukosa ajira
Unamwachia nan? Mm nilichukua yote hata 0 haikubak yaan yote mwanzon nilijua watanipa kwa asilimia 33 ila nikawa smart nikabeba yote...pambana uchukue ufanye mambo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…