Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Inawezakua ulishawahi kusoma seminary, ila kwa bahati mbaya wakakufukuza kwa kukosa wastani ndo maana una kandia. Seminari bado itaendelea KUONGOZA.

huyu hata seminari hajawahi kupita mbona wapo wengi ambao walifukuzwa seminari lakini wapo kimya tu...huyu hamna kitu kama hicho.
 
kaka Jangakuu unakumbuka enzi za kubundi za kuja na machano pale VISIGA SEMINARY tutamkumbuka sana marehemu FR.MAMBO
Kwani maisha ya pale yalikufanya mtu uishi ktk mazingira ya uwoga kama hujiamini

kaka nakumbuka sana full machano kaka, watu wanabundi mpaka chooni,, Nomaaaa, fr.james anakuja na Baskeli usiku keshoyake morning prayer full kulala
 
ahh ha ha ha hayo majina mnayotumia humu JF waseminari mnanifurahisha sanaaaaa yaniiiiiiii.......ebu tusaidiane waseminari wangapi wananyazifa za uongozi Tanzania...tukianzia uraisi,ubunge,uwaziri na sector za juu wizarani...tutaje na seminari walizotoka...kwa kuanzia Membe{waziri mambo ya nje...namupa na dungunyi seminary},mnyika{maua seminary},cyril chami{uru},dr.slaa{kule arusha nimesahau jina badaae Dungunyi.....mimi mwenyewe{st.james seminary
 
Ha ha haa,nalimis sana life la seminarini 'never seen elsewhere',kashkash,mikiki mikiki,full kukimbizana ndio kawaida.Basi kuna jamaa alidoji masifu ya jioni,aliposikia father anapita mabwenini akajificha uvunguni,ile father kafika jamaa akawa anatetemeka hadi deka linatikisika hadi akakamatwa dah.loving u forever ST.MARY'S MBALIZI SEMINARY.
 
Ha ha ha nakumbuka mbali st Pius makoko seminary rector fumakule aka pumbu ..full sala masifu plus poor diet
 
Ha ha ha nakumbuka mbali st Pius makoko seminary rector fumakule aka pumbu ..full sala masifu plus poor diet

Hahahah mkuu nikumbusha mbali sana na mimi nimepita pale miaka ya 2000+,mambo ya alua ukwayan,mbaino,umofia hahahahaha
 
st.joseph kilocha.sapula

ulipita miaka ipi unamkumbuka Fr mlengule,Damas mahali,vipi ile operesheni ya kupanda chai mawolo ulishiriki,lakini ile ya kupanda miti Ruhuji ndo ilikuwa noma aiseee
 

kwa hiyo na we ni waziri ngoja nianze kupekenyua post zako nione kama huwa unatukana,vipi hukuwahi doji kwenda masifu au kanisani siku moja
 
kwa hiyo na we ni waziri ngoja nianze kupekenyua post zako nione kama huwa unatukana,vipi hukuwahi doji kwenda masifu au kanisani siku moja
logic fuatilia.........nimewahi kudodge mara nyingi na hata kutoloka by da way ckuwa mtakatifu vile nilikuwa mwanadamu wa kawaida
 
Andrew Chenge (Nyegezi seminari kama sikosei) though ametu let down, John Cheyo( Nyegezi) x mp Busega Raphael Chegeni ( Nyegezi)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Oh! Wapi HANGA REMINARY Namkumbuka Sana Baba Rector Chrisostom,casmiry,mgaga Baba Wa Wadufi, Esperanso Na Mzee Wa Para Ansigari Kwa Mambo Mengi Waliyoyafanya.Pia Niwakumbushe Mambo Ya Kukatwa Mikia,kuogeshwa Maji 4m 1(nyoya) Wote Room 1, Kula Kwa Vijiko Hata Ugali,mambo Ya Chepo,mambo Ya Nyali,wadufi,kulima Bustani Chini Ya Usimamizi Wa Bwana Kazi Philipo Na Luciani.Na Mengine Mengi,nawapenda Sana Waseminari Ukimaliza We Nimwanaume Wa Shoka.Seminari Oyeeeee.
 
Kwa kweli nimeona na mimi nitie neno kdgo; kama kawa SPS,St.Peter's Sem.2005-2008,Rector Chief Kung'alo,Ndwange,Kiangazi,Kilambo,BOTTA. Joint mass Kilakala,out Moro sec,ijumaa chupi na banzi desert,.daz baba

singumalanji
 

BOT-Beno Ndullu
 

Yupo Jimbo Kuu la Arusha.
 
Huko seminari kuna hako kamchezo ka kulawitiana na hilo si udini, kwani dini zote zinakataza. Unachotakiwa ni kufunguka kama umeshawahi kufanyiwa hayo ili uwe huru.

Sijawahi kusikia imetangazwa katika chombo chochote cha habari!
 

Thread imesema 'waliosoma seminari tu' sasa wewe umetoka wapi? Unaingia tundu usiloruhusiwa.............

Una tofauti gani na yule anayeacha njia halali akahamia 0713?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…