Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani umenipeleks mbali sana mkuu...! Atakumbukwa fr. Duba(baba gambera) na fr.Wabanhu spritual directory sengerema seminary. Hawa mapadri walinifukuza 2002, nikiwa form two walinivurugia future yangu. Ila Mungu awasamehe. Maana mpaka sasa bado nasuffer of their impact to my education career.
dahhh mkuu pole sana´...kwani walikuondoa bila kosa...
Kuna vitu common kwa shule za seminary, Majina ya wapishi mara nyingi yanakuwa ya utani au kuchekesha, waseminari wengi wakiwa shule wanakuwa ni wezi wa vyakula/matunda/mifugo na wanaletea hasara shule kuliko unavowafikiria, Kufukuzwa shule ni kitu rahisi sana hasa kukatwa maksi ili mradi uwe below fifty, form one/preform one (nguruwe) hawana haki kabisa na kazima kuna na siku maalum ya kuwakata mikia mara baada au karibia napepa ya mwisho wa mwaka, lazima katika kila darsa kutakuwa na watoto wa mababa(puppets au wanoko) wa kupeleka umbea kwa mapadiri, kati ya masista wanaohudumia mafadha lazima mmoja atakuwa chakula ya mseminary, kulima ni kitu cha kawaida na miraba yao wanachongea sifa yaani mirefu balaa na waseminari huwa wanapendwa sana na watoto wa kike wa kijijini (sehemu ilipo shule). SIJASAHAU MASIFU HASA YALE YA JUMAMOSI USKU KUAMKIA JPILI AMBAYO NI SIKU YA WALI MDUDU.
wap hiy, alaf inaonesha walikuondoa ww

Nimesoma posts zooote sijawaona wadau wa St. Joseph's seminary Ujiji- UJISEMI, mko wapi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kuhusu kukata marks cdhani naona kama umedanganya,wapo very fair kwenye marks ila very serious.
wap hiy, alaf inaonesha walikuondoa ww
Japo uzi wa zamani, umenifanya nimkumbuke babu yangu marehemu Fr. Matipa, kumbe ulikua mwanafunzi wakeSt joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....