Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

SIO KWELI ANGALIA LIST YA WASEMINARI HAPA,MNYIKA, MEMBE,MKAPA,DR SLAA,KARUGENDO,NUSU YA USALAMA WA TAIFA NI WAO,LIST INAENDELEA.....
 
Axee walioxoma queen of apostles seminary! Dah! Nakmbka xana makoronya, Mira ,miviga na morning star! Dah ktambo xana, na wale makongwe wa kijogoo!
Wewe jamaa nimekukumbuka bingwa wa kudoji kumbe upo duniani aiseee
 
WAZO JEMA SANA ILA KUANZISHA GROUP LA WHATS APP NAONA UTATA SANA....LAKINI NI WAZO ZURI
 
Nilifukuzwa don bisco mafinga eti coz sina wito nlikuwa nachekesha kishenzi Charlie chappling mchumba
Nkashanga nkiwa form one Dec.tunasubiria abood ije kutuchukua napewa bahasha ya A4 nksjua kuna zawad kumbe WAP ndio nimefuzwa hivyo
Ila sio kuwa nilikuwa kilaza no coz nlitoka na wastan wa 83 hiyo npo form one
Ndio mana mpaka Leo nayachukia mahindi Yale meusi kama mnubi coz limenifukuza bila sababu ila ndio hivyo safar moja haunzisha nyingne bado napeta
 
[emoji3] [emoji3]
Seminary bana kama jeshi vile!
Rubya seminary kwa Faza Edson Mutemnbei, Florian Kamuhabwa, Faza Wilson Kasigwa... Kuwaona wadada mpaka kuwe na upadrisho pale porokian Rubya..... Namshukuru Mungu nidham na kujiamini msingi nimeutoa pale..... Salam kwa jirani zetu HUMURA SECONDARY SCHOOL kwa Mr Almachius Mafigi don
[emoji122][emoji122][emoji125]
 
pole sana mkuu ila ninachofahamu huwa ni kwamba anyefukuzwa seminari kwa sababu ya kukosa wito wengi huwa wanakuwa mapdre
 
pole sana mkuu ila ninachofahamu huwa ni kwamba anyefukuzwa seminari kwa sababu ya kukosa wito wengi huwa wanakuwa mapdre
Sio Mkuu upepo unabadilika ukishakula tunda la mti wa katikat unakuwa taabani hykumbuki
Kanisa tena
 
Kwa ile utemi wa masisita,na roho ngumu sijui vile Hawaii wala kuoa.... Unajengewa moyo mgumu hata unaweza kujiunga na kudi LA kigaidi
 
Hahaha Bob nimepita pale kaka,Mzee wa makofi ya uso.
 
Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya...

Kila Jmosi ya kwanza ya mwezi ilikua ni siku ya Benediction (Maungamo)...tulikua tunaenda chapel (kanisani) inaendeshwa ibada ya maungamo (Somo: Tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe na kweli haimo ndani mwetu...).

Then baada Padre mwendesha ibada kuhubiri mapadre wanatawanyika kwenye masanduku ya maungamo, hapo kila mseminari anakodoa jicho kuona sanduku alimoingia 'mbaya wake' ...huko haendi kuungama.

Kiukweli kuna mapadre walikuaga wanakaa bila kupata mtu wa kwenda kuungama. Nafkiri walikuaga hawaaminiki, ...unaeza enda ungama uliiba maandazi jikoni ye akalibeba kesho anakubambikiza issue mpaka unakula punishment.

Wazee wa ...
UBI EST CARITAS DEUS IBI EST
mpooo....????!!!
 
Nimejaribu kupitia comments zote sijawaona wana Sanu(St.Joseph Junior)wakati tukitoroka usiku kwa kuruka ukuta.Much respect Fr.Ligogo(r.i.p)ulitupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…