Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Mnanikumbusha IHUNGO seminary (St. Thomas More ) enzi zile ilikuwa hatari sana , Siku hizi Nani kaziroga seminari
 
Itakuwa kuna kosa ulifanya mkuu
Maana Wana mtindo wa kutunza makosa hata kwa Mwaka Mzima.Kuna jamaa aliwahi fukuzwa kwa kosa alilofanya muhula wa kwanza akafukuzwa muhula wa pili Disemba
 
Watu wa seminar kwanini niwa fungua zipu sana!!
 
Ulisoma na Edwin Minja???
 
We jamaa una hasira sana , au kuna jamaa kachukuwa dem wako ?
 
Humu sijaona mseminarist wa Virtus et Sapientia

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
 
Duu kwa miaka niliyosama mimi kulikuwa hakuna swala la tuition kwa mseminary na bado uhakika wa kupiga pepa ulikuwa mkubwa. I remember Likonde seminary
Tuition watu wanaenda kwa mkumbo tu imekuwa kama fasheni lakini siku hizi wanaona kama wanachofundishwa seminarini Bado hakitoshi

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
 
Seminary kuna maisha tofauti na mahali pengine hata tabia za watu waliosoma seminary zinafanana, ni watu wakuobserve sana wanapokua kwenye jamii mpya, sio waongeaji wa kukurupuka wanapima maneno wanaosema.
Najivunia kusoma SONI SEMINARY (UNYABENI)
 
Da huu uzi mtamu sana ,,Maisha ya seminary nayamis na najivunia kupitia huku coz kulinibadilisha na kumenipa maisha kwa kuonekana nina utiifu na muaminifu hadi sasa ,kwa wanangu wa SONI SEMINARY aka UNYABENI SONI. nikiwa na wanangu wa NO SHOBO room ya BIBO RAPTURE
 
Kwa wale walioanzia pre- form one Tosamaganga hakika watakuwa wanamkumbuka Mzee Mupesa! Fr. Alikuwa katili ile mbaya anakuchapa makofi hata mkiwa altalen hakika nimekumbuka mbali sana 1993--------
 
Seminary kuna maisha tofauti na mahali pengine hata tabia za watu waliosoma seminary zinafanana, ni watu wakuobserve sana wanapokua kwenye jamii mpya, sio waongeaji wa kukurupuka wanapima maneno wanaosema.
Najivunia kusoma SONI SEMINARY (UNYABENI)
Safi MNYABE wa soni semi ,wazee wa shashui ,wazee wa kadawia hatari sana
 
Hahaa..umemaliza lini pale....nakumbuka Salus...hahaha...dah....new field....Kyebikere....Brass Band....long time sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…