Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Nilifukuzwa don bisco mafinga eti coz sina wito nlikuwa nachekesha kishenzi Charlie chappling mchumba
Nkashanga nkiwa form one Dec.tunasubiria abood ije kutuchukua napewa bahasha ya A4 nksjua kuna zawad kumbe WAP ndio nimefuzwa hivyo
Ila sio kuwa nilikuwa kilaza no coz nlitoka na wastan wa 83 hiyo npo form one
Ndio mana mpaka Leo nayachukia mahindi Yale meusi kama mnubi coz limenifukuza bila sababu ila ndio hivyo safar moja haunzisha nyingne bado napeta
Itakuwa kuna kosa ulifanya mkuu
Maana Wana mtindo wa kutunza makosa hata kwa Mwaka Mzima.Kuna jamaa aliwahi fukuzwa kwa kosa alilofanya muhula wa kwanza akafukuzwa muhula wa pili Disemba
 
Watu wa seminar kwanini niwa fungua zipu sana!!
 
mkuu mi pia nmesoma sanu seminary olevel 2004-07 kabla ya kwenda Maua advance. Rector alkuwa Mugonza na the late Ligogo alikuwa vice. Displine master alikuwa fr rahhi baadaye fr donatus aka kichwa. Nakumbuka moments za magara shambani. Kamwe siwezi sahau misemo ya Sanu kama mkuki,kukacha chepo no para, zutu... Baba G alkuwa anachapa sana. Pia namkumbuka mwalimu Koski, gidshang, mguu, ben, anney, triple G na Genda. Kunakugaragazwa kwenye vumbi na tope ooooh wil never forget dat. Mpishi alikuwa mzee joseph, awaki na nina. Naskia Gaare alibadl mambo mengi sana sanu. Sa iv yupo fr pamphil ndio rector. Fr. Uhuru sa hivi ni paroko wangu msaidizi karatu.
Ulisoma na Edwin Minja???
 
We jamaa una hasira sana , au kuna jamaa kachukuwa dem wako ?
 
Humu sijaona mseminarist wa Virtus et Sapientia

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
 
Duu kwa miaka niliyosama mimi kulikuwa hakuna swala la tuition kwa mseminary na bado uhakika wa kupiga pepa ulikuwa mkubwa. I remember Likonde seminary
Tuition watu wanaenda kwa mkumbo tu imekuwa kama fasheni lakini siku hizi wanaona kama wanachofundishwa seminarini Bado hakitoshi

Tumbo ndio Linalotembea,Miguu ni Mikongojo tu.
 
Seminary kuna maisha tofauti na mahali pengine hata tabia za watu waliosoma seminary zinafanana, ni watu wakuobserve sana wanapokua kwenye jamii mpya, sio waongeaji wa kukurupuka wanapima maneno wanaosema.
Najivunia kusoma SONI SEMINARY (UNYABENI)
 
Da huu uzi mtamu sana ,,Maisha ya seminary nayamis na najivunia kupitia huku coz kulinibadilisha na kumenipa maisha kwa kuonekana nina utiifu na muaminifu hadi sasa ,kwa wanangu wa SONI SEMINARY aka UNYABENI SONI. nikiwa na wanangu wa NO SHOBO room ya BIBO RAPTURE
 
Kwa wale walioanzia pre- form one Tosamaganga hakika watakuwa wanamkumbuka Mzee Mupesa! Fr. Alikuwa katili ile mbaya anakuchapa makofi hata mkiwa altalen hakika nimekumbuka mbali sana 1993--------
 
Seminary kuna maisha tofauti na mahali pengine hata tabia za watu waliosoma seminary zinafanana, ni watu wakuobserve sana wanapokua kwenye jamii mpya, sio waongeaji wa kukurupuka wanapima maneno wanaosema.
Najivunia kusoma SONI SEMINARY (UNYABENI)
Safi MNYABE wa soni semi ,wazee wa shashui ,wazee wa kadawia hatari sana
 
[emoji3] [emoji3]
Seminary bana kama jeshi vile!
Rubya seminary kwa Faza Edson Mutemnbei, Florian Kamuhabwa, Faza Wilson Kasigwa... Kuwaona wadada mpaka kuwe na upadrisho pale porokian Rubya..... Namshukuru Mungu nidham na kujiamini msingi nimeutoa pale..... Salam kwa jirani zetu HUMURA SECONDARY SCHOOL kwa Mr Almachius Mafigi don
[emoji122][emoji122][emoji125]
Hahaa..umemaliza lini pale....nakumbuka Salus...hahaha...dah....new field....Kyebikere....Brass Band....long time sana
 
Back
Top Bottom