tupo kaka, mi nilipita pale enzi za rector fr. CELCIUS MUGONZA, alivyokuwa anatisha unatamani usikutane naye, nawakumbuka fr. ligogo(RIP), Fr. rahhi, fr. macha, fr. joseph, fr. uhuru.
Bw Bwai, duh umenikumbusha ma fr kibao.
Hivi Fr Ligogo hayupo? Lini na nini kilimchukua? Namkumbuka sana kuanzia akiwa Frateri hadi anapata u fr. Fr Uhuru (mwana soka) alirudi seminary? Huyo rector ni wa miaka ipi? Nakumbuka baada ya Fr Bilos (RIP) alifuata Qameyu (tempa) then Axwesso kama sijakosea.
Wapi Fr Dawas, Fr Gaare.
Teacher Coski .....