Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karatu Boy.... nakumbuka tulikuwa na vijana from Karatu enzi hizo (1993 -1998), marehemu Fr Bilos alikuwa anawachukia maana alikuwa anawaona ni kama wahuni/wajanja sana. Fr. Uhuru yupo kwao KRT sio.... wapi Fr. Almas, Fr. Reginald, Fr. Peter Salaho, Fr. James Yarot, etc. Nayakumbuka maisha ya SANU .... Town Leave, etc. Ila maisha yalikuwa matamu kwa upande flani nakumbuka Fr Ligogo (RIP) alikuwa na misemo yake .... we mshenzi".....
mkuu fr salaho yupo jimbon ni mkurugenzi wa elimu jimbo. fr almas yupo parokia endabash, fr reginald barie ni paroko wa riroda. James yarrot nadhan jimbon yupo jimbon n mkurugenzi wa utume wa walei. Ya fr. uhuru amerud kwao karatu...tupo nae karatu.
maua nliingia 2008. rector alkuwa br.pissa, br.mtena vice rector na rogerio massawe dean of discipline. mambudi kwa sana na nduu<br />By karatu boy<br />
mkuu fr salaho yupo jimbon ni mkurugenzi wa elimu jimbo. fr almas yupo parokia endabash, fr reginald barie ni paroko wa riroda. James yarrot nadhan jimbon yupo jimbon n mkurugenzi wa utume wa walei. Ya fr. uhuru amerud kwao karatu...tupo nae karatu.
<br />
Maua uliingia mwaka gani <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=27239" target="_blank">Karatu</a></b>boy
maua nliingia 2008. rector alkuwa br.pissa, br.mtena vice rector na rogerio massawe dean of discipline. mambudi kwa sana na nduu
daahh kila kitu kina sababu dada angu....
áisee hapo nipo form six st.james
St. James kambi kubwa sana! Mnaomkumbuka kochambe na majembe mengine kama domakuu na fafu hebu fungukeni.
fr.kochambe mzee wa summa cum laude,Fr.domakuu bingwa wa uchumi mana alinifanya nipate marks nzuri sana form six,fr.faustin furaha(fafu) mwl wangu wa historia kwa sasa ni mkuu st.amedeus....fr.nderumaki sasa ni rector...hakika nikipasahau st.james(sajase) na mkono wangu wa kuume unyauke.
Bila shaka mama agatha.fr taabu aka dic ama dictator,huy jamaa alikua noma sana fr mwelinde..na vilatin vyke..unawakumbka.
Mimi sijapitia huku,ila nimependa huu mjadala,nilikuwa nataka kumfahamu huyu fr Nderumaki ni Fabian nderumaki au ni mwingine?