Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Mie shujaa wangu ni Fr Aloysius Makusaro. Asanteni sana.

dahh..mkuu inaonyesha ulikuwa unamkubali sana mana katika mapadre wote sajase we ukuona mwingine isipokuwa makusaro...
 
Seminary ni maisha fulani ya tofauti sana aftr all sijutii kua mseminary..longlive katoke seminary..

Teh teh teh...katoke, kwa mama Agata, unakumbuka msamiati wa kagete? Mwaka gani mkuu, sisi ni miaka ya 1996 hapo namkumbuka Fr super camel...
 
Mbona St.MAJUSE VISIGA SEMINARY siwaoni humu
Kizeze una shida gani na Visiga yetu Junior Seminary ya kwanza ya Jimbo kuu la DSM.
Zama za Vigozi Manyoya,Ungoaji wa visiki.
Usitumwe kazi Orchard ukirudi mdomo watema harufu ya machungwa then ADHABU FASTER.
 
zao la st. charles Borromeo. ITAGA Seminary pale tabora chini ya Gombera F. kidungu na fr C. Dinno Thanks kwa kufanya maisha yetu yawe hapa tulipo am proud of you.
 
we dogo tatizo mambo mengi ndo mana walikula kichwa seminarini...

...special morning ya sajase we acha kabisa. Enzi hiyo wanakuja mafather wote na masista. Makusaro anaanza kusoma hukumu. Kisha mhukumiwa anatangaziwa rasimi the soo and so is NO LONGER OUR SEMINARIAN. Baada ya hapo kruza inaöndolewa parking. Prefect anasimamia parking boxroom then unasepa kimtindo. Mwenyewe nilionja paa, ambao mlifukuzwa mna jambo la kukumbuka siku zote.
 
haya wale wenzangu wa st. Peters seminary wapo wapi!?mwakumbuka ku-escape kwenda desert kununua maandazi au kipindi cha joint mass na kilakala mbna mashati ya tomato yalikoma
 
kumbe hesabu ya Tanzania na india zipo tofauti mkuu...
Alikua analia mara kibao tuu alafu anaenda kumwambia Fr.Ngao anakuja kuchimba mkwala class.Kuna mwngne mtabe sana wa Kemia alikua anaitwa Sr.Elizabeth alikuja kumreplace Sr. Dolores (bibi)
 
Kupiga arua...mandazi ya mama Abel..kuzamia...mwaruforty....haaa 1995 - 1998
 
Shule bora tanzania ni mzumbe,ilboru,taboraboys,kisimiri&kibaha wengine wababaishaji
 
Shule bora tanzania ni mzumbe,ilboru,taboraboys,kisimiri&kibaha wengine wababaishaji

binafsi nilipangiwa tabora boys(A level) ila sikwenda nilirudi zangu seminarini..seminarini tulikuwa tukipata malezi ya aina nne intellectual,spiritual,pastoral,na discipline formation...ndo utofauti uliopo kati ya seminary na secondary....sasa humu wapo raia walioenda A level hizo shule zako...ngoja waje wakupe ushuhuda na utofauti wa seminari na sekondari..ww leo umevamia kambi natumai watakupa ukweli ili liwe fundisho kwa watu kama ww.
 
Shule bora tanzania ni mzumbe,ilboru,taboraboys,kisimiri&kibaha wengine wababaishaji

mwenyewe nilipangiwa Minaki High School Advance Level sikwenda sababu seminari is a best place to be to study, spiritually grow and socially formed hayo hayapo shule ulizotaja na zifananazo mm sikuweza vumilia kitendo cha kukosa seminarini eti nijiunge na government; Hell No na Big No!!! Seminari hadi kesho na keshokutwa sijutii kwenda na nikiisahau seminary ulimi wangu na ugandamane na kaakaa na kinywa nisipo kukumbuka seminari!!! Long live seminary; Long live Maua seminary!!! St Francis and Clare patron of our seminary and the Order of Friars Minor Capuchins (OFM Cap) pray for us!
 
Mkuu mama abel namfaham sana,hahaha nami nimepita pale makoko 2000+

Dah mmenikumbusha mbali sana,enzi za vtusu vya kwa Mende,,kwenda Umofia,,kufuata Makilagi Ukwayani!
Kwakweli maisha yale yalinijenga sana kufikia hapa nilipo leo. Shukrani kwa Fr. Rector R. Fumakule(R.I.P),,Fr. Musira a.k.a 'Gumegume',. Fr. Bwire (R.I.P),,Sista Elsey,.Maria
 

bora haukufanikiwa kua padri ingawa ulitumia sadaka zetu kwani kinywa chako kimejaa mantusi
 

bora haukufanikiwa kua padri ingawa ulitumia sadaka zetu kwani kinywa chako kimejaa mantusi

naona haujui kiswahili vizuri maana ya neno kisenge ni nn?
na je nimemaanisha nn?
sadaka gaani ulinichangia maana mm nilikuwa nalipa karo sasa sijui povu la kutoka la nn?
 

Hahaa,mwenyewe hapa nacheka sana vitusu vya kwa mende,afu kulikuwa na mdada anawowo la maana alikuwa analeta pale nyuma ya mesi.
Nakumbuka sana yale maisha ila seminarini ni mahala ambapo mtu anajengeka kiukwel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…