Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seminary ni maisha fulani ya tofauti sana aftr all sijutii kua mseminary..longlive katoke seminary..
Kizeze una shida gani na Visiga yetu Junior Seminary ya kwanza ya Jimbo kuu la DSM.Mbona St.MAJUSE VISIGA SEMINARY siwaoni humu
we dogo tatizo mambo mengi ndo mana walikula kichwa seminarini...
Alikua analia mara kibao tuu alafu anaenda kumwambia Fr.Ngao anakuja kuchimba mkwala class.Kuna mwngne mtabe sana wa Kemia alikua anaitwa Sr.Elizabeth alikuja kumreplace Sr. Dolores (bibi)kumbe hesabu ya Tanzania na india zipo tofauti mkuu...
Kupiga arua...mandazi ya mama Abel..kuzamia...mwaruforty....haaa 1995 - 1998
Shule bora tanzania ni mzumbe,ilboru,taboraboys,kisimiri&kibaha wengine wababaishaji
Shule bora tanzania ni mzumbe,ilboru,taboraboys,kisimiri&kibaha wengine wababaishaji
Mkuu mama abel namfaham sana,hahaha nami nimepita pale makoko 2000+
daaah!maisha fulani ya kisenge kwa sisi tuliosoma kule bukoba rubya seminary
waalimu sio professional yaani ni full mapriest wenye philosophy na theology....classs full porojo na student based learning....yaani mwalimu ka hana uhakika fulani anasubiri mwanafunzi aliyepiga zake tuition aje kutufundisha....
Anywayz nilipenda life hilo maana nimeadapt kuishi hata envt iwe harsh kivipi
bora haukufanikiwa kua padri ingawa ulitumia sadaka zetu kwani kinywa chako kimejaa mantusi
Dah mmenikumbusha mbali sana,enzi za vtusu vya kwa Mende,,kwenda Umofia,,kufuata Makilagi Ukwayani!
Kwakweli maisha yale yalinijenga sana kufikia hapa nilipo leo. Shukrani kwa Fr. Rector R. Fumakule(R.I.P),,Fr. Musira a.k.a 'Gumegume',. Fr. Bwire (R.I.P),,Sista Elsey,.Maria