Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hiyo jina yako mkuu...kweli ulipita rubya...hivi kwanini ulikimbia.
nyie waseminary wa kikatoliki wengi wenu ni wajinga na wapumbavu kabisa, huku chuoni ndio mnongoza kwa ufuska, hamsali tena eti mshasali sana, waoga kumkiri kristo hata wengine hamtaki kujiita wakristo, huu ni unafiki na uzandiki, kanisa limewapa elimu bora badala ya kuitumia kulisaidia kanisa na taifa mmekengeuka, badilishen njia zenu na muungame mmurudie kristo, anaebisha juu ua haya tafadhali awaangalie WENGI wa waseminary waluoko vyuoni ni aibu kubea kwa kanisa katoliki.
I think i can know u betternilikua pale,full machungwa,mapera,maembe chitumba.,RIP Fr J Mlaponi (madale) and the Rector Fr Nnunduma.
may be,u canI think i can know u better
St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....
binafsi ni tunda la Maua Seminary.....nayamiss sana maisha ya wakapuchin. proudly seminarian
Ni Rector.....Sio Lector....St joseph or kaengesa seminary...dah enzi za mzee matipa na sangu mkubwa kama lector...issue za kuchoma mahindi msituni....issue za kukata mkia form one...tarehe tisa mwizi wa tisa saa tisa usiku....
Tumsifu Yesu Kristu.......... jamani mpo na maisha yanaendaje ebu tukumbushane yale maisha wakati ule tupo kitaluni kule seminarini, mambo ya masifu ya asubuhi, misa takatifu, joint masses n.k. Hakika nimeyamisi sana yale maisha visiga seminary,st.peters seminary,st.james sem,uru seminary,maua seminary,likonde sem,stella matutina(ligano),kasita sem,don bosco sem,bihawana sem,lubya sem,itaga sem...n.k...na enzi zetu nakumbuka tokeo la form four na form six yani seminary zilikuwa ziking'aa...nimekumbuka sana seminar´..
bila kusahau st.peters seminary ya morogoro...hakika ilikuwa ni kama mbinguni...wale wa desert...
Shule za mchangani hizi hatutaki majadiliano yenu wezi wa mitihani