binafsi ni tunda la makoko seminary palr musoma miaka ya recta,FUMAKULE aka DUDU,(RIP),nathubutu kusema hakuna maisha magumu kama maisha ya seminary na hakuna maisha mazur kama ya seminary.mtu aliyesoma seminary anaweza kufit sehem yoyote hata pawe vipi,hata jeshini hata tetereka,mifano ipo.
maisha yale humbadilisha mtu kisakologia na kumfanya awe tofaut kabisa na watu wengine,awe p
mpole popote,anakuwa muoga,mkimya,mcha mungu,mwelewa na asiyependa malumbano.na amini usiamini mseminary huwa mwoga wa kutenda dhambi hasa uzinz awapo bado seminary.tatizo linakuja pale anapomaliza ama kwenda shule hiz za mchanganyiko,ni kama mbwa kafunguliwa....hutembeza dudu balaaa.ushahid upo.
kingine ambacho hutukumba waseminar wengi ni kutokuwana ham tena ya kusali ama kujishughulisha na mambo ya imani,wengi huwa wapinzani wa imani na kuona kwamba kila kitu ni kawaida nadhan hiii inachangiwa na mambo ya kule seminarin,maana kule ni kusal full yan kila siku,mara novena mara rosar,mara mifungo mara joint mass.
Lakin tathimin inaonesha waseminary n watu wa maadili popote walipo na hufanya vizur makazin nap opote huwa viongoz..
nami pia useminary umenisaidia hadi hapa nilipo.
nawamis sana maclassmate wangu,max pole,deo shija,muhija,blaz ndege,manoja,lusajo baraka,deo bwire,kamese,cistantin mnaku n.k