Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

Naskia huko seminary puli huwa zinahusika kimtindo flan
Huwa hatujibu vitu vya kusikia mkuu...sasa wewe umesikia sasa na mimi naomba usikie hichi nacho kuambia kuwa hicho ulichokitamka huwa akipo.....toka umezaliwa hadi leo umesikia vingapi!? Na je vyote ulivyosikia vilikuwa vya kweli!?
 
Ili kupata knowlwdge ni either usikie, usome ama uone, after all asante kuwa umejibu waseminary hawapigi LipU
 
Kweli hakuna maisha matamu kama ya shule jamani.. Marafiki wengi, vituko vingi, yaani raha tupu.
 
Ili kupata knowlwdge ni either usikie, usome ama uone, after all asante kuwa umejibu waseminary hawapigi LipU

ndo mana watu hawaishii kusikia tu mkuu hicho ulichosikia lazima ukithibitishe kuliko kusikia na kuanza kulopoka kama yule mama mmoja huko juu...ila shukurani na karibu.
 
Nyie seminari hamkuwa na raha. Sisi tuliosoma shule za serikali boys tupu ndo ilikuwa raha. Kuna njemba zilikuwa hazina ratiba ya kuoga
 
Nyie seminari hamkuwa na raha. Sisi tuliosoma shule za serikali boys tupu ndo ilikuwa raha. Kuna njemba zilikuwa hazina ratiba ya kuoga

kwahiyo kwako wewe kutokuoga ndio unaona yalikuwa maisha ya raha tupu...kweli wewe ni narrow minded....sisi tulikuwa tukioga tukisali tukiheshimu walimu na walezi wetu wote....na hayo ndo maisha tuliyokuwa tukiyafurahia pale seminarini...
 
St.Peter's Seminary Morogoro: Ukiingia getini unakutana na Our Mottor is Pray,Study,Work Ukitoka Unaambiwa Remeber our Motto: Wapi Fr.Carol Mroka, I like that Man,fr.Sewando,Fr.Patrick Kung'aro: Anthem yetu "Baba Petro Msimamizi wa shule yetu kwakuomba utuombee kwa bwana Mungu wetuuuu,Baba Petroo.....Natafuta Contact za Fr.Pastol Kijuuu please anyone in touch with this Fr.please assist. Jamani Jamani where is Brother Msewanga.Mlezi wa TYCS
Je tall wa kitchen mnamkumbuka???
 
seminarin raha bana acha kabisa!nimepamiss stella matutina(ligano) class letu lilikua ful utani!nimeyamiss sana maisha yaseminary yani ful discipline,utani kwasana plus fr.wetu huyu clarence chilewa ful raha!i miss those joyful moments in seminary....
 
´daahh mkuu ila ligano ipo porini sana...seminari nyingi zipo porini ila ligano ndo inaongoza kwa kuwa porini´...angalau likonde seminary..
 
Bw Bwai, duh umenikumbusha ma fr kibao.
Hivi Fr Ligogo hayupo? Lini na nini kilimchukua? Namkumbuka sana kuanzia akiwa Frateri hadi anapata u fr. Fr Uhuru (mwana soka) alirudi seminary? Huyo rector ni wa miaka ipi? Nakumbuka baada ya Fr Bilos (RIP) alifuata Qameyu (tempa) then Axwesso kama sijakosea.
Wapi Fr Dawas, Fr Gaare.
Teacher Coski .....

COSKI yupo pale bado kama kawa anapiga misele na ile gari ya seminari.
 
Hii thread ya watu waliofeli kumbe bado ipo ? shule za mchangani wezi wa mitihani hawa
 
Hii thread ya watu waliofeli kumbe bado ipo ? shule za mchangani wezi wa mitihani hawa

Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity.
 
Shule za seminary ,ni wizi wa mitihani,wanafunzi waliofelii ,yan mnaiba mtihani halafu mnajiita saint?
 
Shule za seminary ,ni wizi wa mitihani,wanafunzi waliofelii ,yan mnaiba mtihani halafu mnajiita saint?

naona sasa umefikia highest degree ya ujinga mkuu..ok..hadi chuo ulipokutana nao na wanakukimbiza bado wanaiba mitihani..hadi uko chuo wanavyoongoza kwa kujituma kwenye assignment bado unazani wanaiba sio,hadi uko chuo wanavyoongea kingereza zaidi yako bado wanaibia,au ndo wivu....vijana walikuwa smart wapo smart na bado watakuwa smart..alafu we dogo si umemaliza mwaka jana tu kidato cha sita mana kuna wakati jukwaa hili ulikuwa gumzo sana...sasa hapo unaposoma wafuatulie waseminari jinsi wanavyojituma kupiga shule na angalia matokeo yao in terms of GPA alafu ndo uje kuongea....NARROW MINDED..
 
Hii thread ya watu waliofeli kumbe bado ipo ? shule za mchangani wezi wa mitihani hawa

Inawezakua ulishawahi kusoma seminary, ila kwa bahati mbaya wakakufukuza kwa kukosa wastani ndo maana una kandia. Seminari bado itaendelea KUONGOZA.
 
seminari imepa vitu vingi sana vya kujivunia maishani....
 
Back
Top Bottom