britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya.
Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.
Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua.
Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa hela ya kutosha.
Najua na wee una siri umetunza tudokeze.