Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TwambieKuna Siri kubwa nimekaa Nayo muda mrefu na sitakuja kuisema
KWELIKABISAMKUUWe all have stories we'll never tell
Msema kweli ni mpenzi wa mungu
Mimi binafsi sinaga siri kabsaa
Mtu akiniambia kitu halaf ati akasema hii iwe siri yako usimwambie mtu,hapo ndio ananituma kabxaa nikayaseme kwa watu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ni mshakaji kweli au lugha ya fasihi imetumika 😂😂Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
Ulibakwa nini?Kuna vitu sitakuja kuvisema hadi nazikwa, iwe kwa anaenifahamu au asiyenifaham. Iwe ni kwa kuandika au kwa kuongea. Sitakuja kusema.