Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Mi msiri zaidi ya wote aisee ila ajabu sina sehemu za siri maana washaziona mabahamedi, wahudumu wa gest, mishangazi na videnti kibao
 
Daah watu tuna siri nyingi aisee mungu atusamehe

1. Kipind nipo form 3 nilimgegeda mtoto wa kakaa tumbo moja sikuishia hapo

2. Baaada ya kuingia chuo nikamgegeda mke wangu ( kuku na mayai yake )
 
Siku moja usiku mnene nimekaa nyuma ya nyumba nakula kitu changu, nikasikia kama vishindo nyumba ya jirani nikapanda ukuta nichungulie ile natoa kichwa nikakutana uso kwa uso na Mzee wa ile nyumba akiwa na mwanae wa kiume, mke wake na jamaa wengine wawili wote waliona kuwa niwewaona bangi yote ilikata kichwani nikarudi ndani mbio, hawakuwahi kuniuliza chochote na mimi sikumwambia mtu yeyote yule hadi mwaka jana nilienda nyumbani nikawa naongea na mama stori za mtaani nikajikuta namwambia nilichokiona siku ile ila nikamwambia kuwa makini walijua kuwa nimeona usije kumwambia mtu hii habari!
Walikua wanafanya nini?
 
Mtu mmoja marehemu Kwa sasa, nikiwa Fundi wa radio za magari. Aliniletea gari yake Isuzu trooper niifunge spika za ubavuni,miaka ya 2008.akaiacha kuwa anamizunguko angeiludia badge. kwani nilikuwa na kazi nyingine nikiifanya. Hivyo nikamaliza kazi ya kwanza na kuanza kazi yake. Nikafungua mlango wa kushoto wa mbele, ubavuni kuna silingboard ili nichonge duara ya kufunga spika. Ile kufungua nusu body tu nikaona suruali [emoji158] Jeans ikiwa imekatwa mguu mmoja ikiwa imelowa mafuta, huku imefungwa na mipila ya baiskeli. Nikashangaa!! Nilipoamua kuitanua ndani sikuamini nilichokiona!! Ilikuwa imejaa risasi!!. Ndugu yangu msomaji nililudishia bila kufunga spika. Nikaona wasijue. Nikawaza hawa ni majambazi tu na wamejisahau. Nikahamia mlango wa kulia. Nilichoona ni bunduki fupi!! Nikaludishia body. Nikaamua kuludi ndani ya workshop nikaendelea na kazi zingine bila kuwaeleza wenzangu. Ghafla mmoja akaja na gari Tex speed. Akaniuliza kazi tayali? Nikamwambia bado ndio nataka kuianza nilibanana. Akasema natoka na gari robo saa nakuja. Alipoludi akawa amefungua zile body akidai ameona anilaisishie. Nikamwambia asante kwani nimebanwa na kazi. Nikafunga wakachukua. Badae miaka mingi nilikuja kumuona ameuwawa na polisi. Ndio jambazi waliovamia ndege Ya madini mgodini .
duuh, ulicheza.Wangejua umejua wangeweza kukumaliza mkuu.
 
Siku moja usiku mnene nimekaa nyuma ya nyumba nakula kitu changu, nikasikia kama vishindo nyumba ya jirani nikapanda ukuta nichungulie ile natoa kichwa nikakutana uso kwa uso na Mzee wa ile nyumba akiwa na mwanae wa kiume, mke wake na jamaa wengine wawili wote waliona kuwa niwewaona bangi yote ilikata kichwani nikarudi ndani mbio, hawakuwahi kuniuliza chochote na mimi sikumwambia mtu yeyote yule hadi mwaka jana nilienda nyumbani nikawa naongea na mama stori za mtaani nikajikuta namwambia nilichokiona siku ile ila nikamwambia kuwa makini walijua kuwa nimeona usije kumwambia mtu hii habari!
Walifanyaje
 
Mtu mmoja marehemu Kwa sasa, nikiwa Fundi wa radio za magari. Aliniletea gari yake Isuzu trooper niifunge spika za ubavuni,miaka ya 2008.akaiacha kuwa anamizunguko angeiludia badge. kwani nilikuwa na kazi nyingine nikiifanya. Hivyo nikamaliza kazi ya kwanza na kuanza kazi yake. Nikafungua mlango wa kushoto wa mbele, ubavuni kuna silingboard ili nichonge duara ya kufunga spika. Ile kufungua nusu body tu nikaona suruali [emoji158] Jeans ikiwa imekatwa mguu mmoja ikiwa imelowa mafuta, huku imefungwa na mipila ya baiskeli. Nikashangaa!! Nilipoamua kuitanua ndani sikuamini nilichokiona!! Ilikuwa imejaa risasi!!. Ndugu yangu msomaji nililudishia bila kufunga spika. Nikaona wasijue. Nikawaza hawa ni majambazi tu na wamejisahau. Nikahamia mlango wa kulia. Nilichoona ni bunduki fupi!! Nikaludishia body. Nikaamua kuludi ndani ya workshop nikaendelea na kazi zingine bila kuwaeleza wenzangu. Ghafla mmoja akaja na gari Tex speed. Akaniuliza kazi tayali? Nikamwambia bado ndio nataka kuianza nilibanana. Akasema natoka na gari robo saa nakuja. Alipoludi akawa amefungua zile body akidai ameona anilaisishie. Nikamwambia asante kwani nimebanwa na kazi. Nikafunga wakachukua. Badae miaka mingi nilikuja kumuona ameuwawa na polisi. Ndio jambazi waliovamia ndege Ya madini mgodini .
Hatari sana hii
 
Sijui hii ni siri au taarifa. rafiki 1 kati ya zangu 2 alimuuliza rafiki yake kuwa mbona jamaa hapendi kutoka na mademu ha hsjamuona na mademu japo wapo wanaomzimia? Jamaa kanyamaza na kupotezea swali. Lakini nilipomhoji kaniambia nimjibu nini wakati natoka na mamake na ananikatia mpunga mrefu na kwetu hali ngumu?
 
Nna siri nyingi hata nafsi yangu siwezi kuiambia.......

ngoja niwape siri sijui ndio mkasa.....

nina classmate wangu wa ps enzi hzo 2000's, tumeshibana sana since then! yeye baada ya kuhitim std 7 akaamua kuingia kitaa kupambana , mm nikaendelea na shule....Mungu si athuman mbishe za mchiz zilienda powa sana na hustlin za kutosha hatimae mdogo mdogo akatusua...... nikiri hata nikiwa chuo jamaa amenisapoti sana pocket money....

regardless profile zetu kielimu na kimafanikio bado tunaheshimiana sana na kusapotiana thou wote kwa sasA tuna maisha yetu japo mchiz kanizidi hatua kadhaa......

ee bhana huwa nikienda mkoa anaoishi nashukia kwake fresh....na nikiwa na mizunguko yangu huwa nachukua ndiga yake kiroho safi.....iko hivi wote hatujaoa , sa kuna siku nimeenda kwake.....ile tumeamka mchiz anarekebisha chai jikon mm nipo nafanya usafi na kupanga nguo.... ile vooop nikakutana na mguu wa mtoto(bastola) kwenye droo ya kabati...kumbuka funguo zilikuwa pale.....nilishtuka sana nikaendelea na yangu, mpaka leo sijawahi kumwambia mchizi ! mchiz ana biashara kadhaa na ni mtafutaji haswa sasa ule mguu wa mtoto sikujua lengo la kuumiliki, na hana mali nyingi kiasi cha kuhofia usalama mpaka kumiliki bastola........ still tuna mingo na kupeana michongo ila niko nae makini sana! unaambiwa kila mafanikio ya mtu kuna jambo nyuma ya pazia !
Mguu wa kuku umeona kitu cha ajabu Mkuu?,njoo huku kwetu uone vijana wadogo wanamiliki hayo mavitu hata usafiri hana
 
Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
Kafumuliwa marinda kisa $200 ..hyo balaa
 
Kwanza siri ina muda wa kuitunza inabidi itoke tu mbona CIA wanaachiaga siri baada ya miaka fulani kama waliua au kupindua kiongozi wa nchi nk
 
hahahaaa siyo siri tena sema apo umetuficha tu majina ya anko zako hao ila tukio liko adharani now
 
2013 kipindi nipo mererani nasaka maisha..kuna jamaa mmoja aliotea Tanzanite kiasi flani. kiasi kadhaa akampa boss kiasi kingine akataka akifiche, sasa ule wakati wa kulala ,kuna katabia fulani hivi ukipata jiwe.

Na kutaka kuliiba inabidi utafute sehemu ya mbali na kambi ya kulala unaenda ficha mzigo wako unaufukia Asubuhi unaamka mapema unaenda kuutoa alafu unapanda nao Arusha mjini kwenda kuuza.sasa jamaa akategea wenzake wamelala yeye akaenda tafuta chimbo wakati huo anahakikisha hamna mtu anae mfuata, jamaa kaingia chaka kachimba shimo akafukia tanzanite yake.

Alafu juu akaweka kajiwe kadogo kama land mark ili Asubuhi akachukue mzigo fasta. Kumbe kuna wahuni walimchora. jamaa ile kaingia camp kulala .Wahuni wakatoka saa hiyo nipo chaka napuliza mjani nikwasoma kabla hawajaniona .nikatupa kijiti fasta nikakikanyaga kizime maana wangesoma kwamba kuna mtu anawachora yupo macho nikaanza wafata mdogo mdogo nikaskia wanaanza kumtukana yule jamaa huku wanataja jina lake wakaingia lile chaka wakasogeza lile jiwe wakatoa ule mzigo mmoja akaangusha haja kubwa mwingine akamaliza na haja ndogo alafu wakafukia kama palivyokuwa wakaeka na kale kajiwe.maana walikuwa ni majamaa wa wili nnao wasoma.

Sikuwahi kumwambia huyo jamaa maana angewaua wale waliomfanyia umafia
 
Back
Top Bottom