Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Mi msiri zaidi ya wote aisee ila ajabu sina sehemu za siri maana washaziona mabahamedi, wahudumu wa gest, mishangazi na videnti kibao
 
Daah watu tuna siri nyingi aisee mungu atusamehe

1. Kipind nipo form 3 nilimgegeda mtoto wa kakaa tumbo moja sikuishia hapo

2. Baaada ya kuingia chuo nikamgegeda mke wangu ( kuku na mayai yake )
 
Walikua wanafanya nini?
 
duuh, ulicheza.Wangejua umejua wangeweza kukumaliza mkuu.
 
Walifanyaje
 
Hatari sana hii
 
Sijui hii ni siri au taarifa. rafiki 1 kati ya zangu 2 alimuuliza rafiki yake kuwa mbona jamaa hapendi kutoka na mademu ha hsjamuona na mademu japo wapo wanaomzimia? Jamaa kanyamaza na kupotezea swali. Lakini nilipomhoji kaniambia nimjibu nini wakati natoka na mamake na ananikatia mpunga mrefu na kwetu hali ngumu?
 
Mguu wa kuku umeona kitu cha ajabu Mkuu?,njoo huku kwetu uone vijana wadogo wanamiliki hayo mavitu hata usafiri hana
 
Kafumuliwa marinda kisa $200 ..hyo balaa
 
Kwanza siri ina muda wa kuitunza inabidi itoke tu mbona CIA wanaachiaga siri baada ya miaka fulani kama waliua au kupindua kiongozi wa nchi nk
 
hahahaaa siyo siri tena sema apo umetuficha tu majina ya anko zako hao ila tukio liko adharani now
 
2013 kipindi nipo mererani nasaka maisha..kuna jamaa mmoja aliotea Tanzanite kiasi flani. kiasi kadhaa akampa boss kiasi kingine akataka akifiche, sasa ule wakati wa kulala ,kuna katabia fulani hivi ukipata jiwe.

Na kutaka kuliiba inabidi utafute sehemu ya mbali na kambi ya kulala unaenda ficha mzigo wako unaufukia Asubuhi unaamka mapema unaenda kuutoa alafu unapanda nao Arusha mjini kwenda kuuza.sasa jamaa akategea wenzake wamelala yeye akaenda tafuta chimbo wakati huo anahakikisha hamna mtu anae mfuata, jamaa kaingia chaka kachimba shimo akafukia tanzanite yake.

Alafu juu akaweka kajiwe kadogo kama land mark ili Asubuhi akachukue mzigo fasta. Kumbe kuna wahuni walimchora. jamaa ile kaingia camp kulala .Wahuni wakatoka saa hiyo nipo chaka napuliza mjani nikwasoma kabla hawajaniona .nikatupa kijiti fasta nikakikanyaga kizime maana wangesoma kwamba kuna mtu anawachora yupo macho nikaanza wafata mdogo mdogo nikaskia wanaanza kumtukana yule jamaa huku wanataja jina lake wakaingia lile chaka wakasogeza lile jiwe wakatoa ule mzigo mmoja akaangusha haja kubwa mwingine akamaliza na haja ndogo alafu wakafukia kama palivyokuwa wakaeka na kale kajiwe.maana walikuwa ni majamaa wa wili nnao wasoma.

Sikuwahi kumwambia huyo jamaa maana angewaua wale waliomfanyia umafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…