Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake
[emoji23][emoji23] ananyofoa mavuzi? Au anayakata? Ana roho ngumu sana huyo maza
 
Mkuu itoe tu, tuko tayariiii

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Kipindi bado nasoma, nilikuwa nikirudi shule nikifika nyumbani kwa ajili ya kunywa chai nakuta mikate ndani imeshaliwa na sisimizi, na wanakuwa bado wapo ndani wamepozi hivyo nikawa na mimi nachukua mikate kama ilivyo na sisimizi wake nadumbukiza kwenye chai. Dah nimeua sisimizi wengi sana.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mama ako mdogo nuksi kweli! Utamu kapata afu anakushushia kipigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1988 ndani ya chumba cha mtihani wa kuhitimu kidato cha nne,tulipewa majibu ubaoni lakini si kwa maswali yoote baadhi walikuwa wanaruka wanaacha tufanye wenyewe. Ni siri ambayo sikuwahi kumwambia mtu yoyote.
Joowzey kumbe kijeba[emoji44][emoji44][emoji44]....wengine ndo kwanza tulikuwa bado tuko viunoni mwa wazazi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh balaa mzee aise...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulimuua huyo mtu...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…