Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake
[emoji23][emoji23] ananyofoa mavuzi? Au anayakata? Ana roho ngumu sana huyo maza
 
Mkuu itoe tu, tuko tayariiii

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Kipindi bado nasoma, nilikuwa nikirudi shule nikifika nyumbani kwa ajili ya kunywa chai nakuta mikate ndani imeshaliwa na sisimizi, na wanakuwa bado wapo ndani wamepozi hivyo nikawa na mimi nachukua mikate kama ilivyo na sisimizi wake nadumbukiza kwenye chai. Dah nimeua sisimizi wengi sana.

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
siri nilizokaa nazo mpk leo ni mbili tu 1. Kuwa na mahusiano na mtoto wa mama mdogo tukiwa wadogo

2. Kusahau ndama wa mbuzi waliokuwa mapacha wakatumbukia shimo la choo jirani hii sitasahau maana nilivisikia vikilia chooni nikakauka. Tulitafuta sana siku hiyo na wazee wangu ilihali najua vimefia chooni..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wa balehe yangu nimelala na mama yangu mdogo kabisa Kama ujuavyo kina hupenda kulala na chupi tu, kidume usiku sinikaanza kupekua kichuguu, chakushangaza mama yangu Yule alitulia kimya kabisa mpaka nikatupia mzee, lakini yaliyonipata kesho yake asubuhi alinipiga kipigo Cha mbwa Koko, sielewi Kama mama na wajomba zangu aliwaambia Nini alichonipigia sijui ila ktk Rika letu Hakuna aliyejua Ni kwanini nilipigwa kipigo kiasi kile siku ile imebaki Siri yetu Mimi na mamdogo...Ni miaka karibia 30 iliyopita na wote tupo hai enz hizo Tabora vijijini huko....dah[emoji36][emoji36]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mama ako mdogo nuksi kweli! Utamu kapata afu anakushushia kipigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1988 ndani ya chumba cha mtihani wa kuhitimu kidato cha nne,tulipewa majibu ubaoni lakini si kwa maswali yoote baadhi walikuwa wanaruka wanaacha tufanye wenyewe. Ni siri ambayo sikuwahi kumwambia mtu yoyote.
Joowzey kumbe kijeba[emoji44][emoji44][emoji44]....wengine ndo kwanza tulikuwa bado tuko viunoni mwa wazazi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa tulikuwa tunalala wote kitanda kimoja, wakati niko mdogo alitaka kunifila, alikuwa akinigusa na mboo yake huku akinidanganya kunipa pesa, Sijawahi kuisema siri hii hadi hapa. Huyu bro namchukia hadi kesho kutwa, sasa ivi ni dereva alipata ajali na kuvunjika mguu sijawahi kumpa pole wala kumtembelea kwake, nikikumbuka alichonifanyia utotoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh balaa mzee aise...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilishuhudia mpangaji wetu akimtilia sumu kwenye maharage jikoni, nilikuwa mtoto age 6, sikufatilia hadi now nimekuwa sijawahi mwambia mtu yeyote hii ishu!

NB: yule mpangaji alikufa baada ya ile scenario ( kuwekewa sumu kwenye maharage)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulimuua huyo mtu...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom