Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

We ni Snitch Kinoma.. inaonekana mbea mbea!
 
Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake



Hii kali ungesema tu. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…