clecla
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,160
- 1,426
Ilikuaje mkuu funguka zaidiNiliwahi kumla jamaa kiboga alikuwa fundi magari.... Siri hii ndio Leo naitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuaje mkuu funguka zaidiNiliwahi kumla jamaa kiboga alikuwa fundi magari.... Siri hii ndio Leo naitoa
Aisee balaaa sanaa...Sikujua nini hicho anamuwekea, utoto nao si unajua!...nilikuja kutafakari ile ishu ukubwani baada ya kujua ugomvi wao ndo nikaunganisha doti
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe ipo siku utaliwa tigo na muokota machupa. auwae kwa upanga atakufa kwa upangaNiliwahi kumla jamaa kiboga alikuwa fundi magari.... Siri hii ndio Leo naitoa
Mbona umepanic bro.... Au ww ndo yule fundi magari nilombandua? Kufirw@ kupenda nduguNawe ipo siku utaliwa tigo na muokota machupa. auwae kwa upanga atakufa kwa upanga
Sent using Jamii Forums mobile app
No! cjapanic, but naona unajisifia kwa kufanya usodoma na gomoraMbona umepanic bro.... Au ww ndo yule fundi magari nilombandua? Kufirw@ kupenda ndugu
Sijajisfia wapi nimesema najisifu kwa tendo hiloo.... Acha kunichumia dhambi
Nataka nikuongoze kwa sala ya toba je uko tayari? Ili Mungu akusamehe hiyo dhambiSijajisfia wapi nimesema najisifu kwa tendo hiloo.... Acha kunichumia dhambi
Unaongoza sala ya toba kwa wafiraji tu? Mbona watu wengi humu huwa wanajisifia uzinzi, ushirikina, uongo n.k sijawahi kuona unawataka uwaongoze sala ya toba?Nataka nikuongoze kwa sala ya toba je uko tayari? Ili Mungu akusamehe hiyo dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongoza sala ya toba kwa wafiraji tu? Mbona watu wengi humu huwa wanajisifia uzinzi, ushirikina, uongo n.k sijawahi kuona unawataka uwaongoze sala ya toba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.... Toba huomba muhusika sio kuombewa wala kuongozwa, Mungu anisamehe kwa kila madhaifu yanguNataka nikuongoze kwa sala ya toba je uko tayari? Ili Mungu akusamehe hiyo dhambi
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ongea tu..maana..inawezekana kweli... .Nikisema hapa haitakuwa siri...dah...sema ni jambo kubwa sana lililoelekea kugharimu maisha ya mtu ....Aya Maisha aya kuna binadamu hawana utu
OwThree can keep a secret, if two of them are dead
We ni Snitch Kinoma.. inaonekana mbea mbea!Mim siwezi kutunza siri, memory ya kuhifadhi data ya kichwa changu kina mambo ya msingi sana ya kuhifadhi..
Siri kesho yake unakuta nimesha sema..
Mim nilisha wahi kumwona mama na mtoto wake wa kike wanamfukia kitoto kichanga.. Usiku hawakuniona kesho yake mapema nikaenda kulisanua..
Nikaja nikumwona msichana mmoja jirani alikuwa akiishi na mdogo wake wa kike dada mtu alikuwa ni fundi wa kushona alikuwa mjamzito ila hakuna aliekuwa anafahamu hakuwa anatoka nje ya nyumba hadi siku anajifungulia nyumbani mdogo wake yupo shuleni, mtoto akamtupa chooni nikashtuka nikalisanua
Kuna jamaa mmoja alikuwa na grosary yake ya kuuza pombe, ilikuwa karibu na kituo kikubwa cha polis, kumbe nyuma yake mchizi alikuwa anauza madawa ya kulevya, wacha nije nilisanue, kumbe pimbi alikuwa na connection na askari wa pale akaja kunshtukia wacha ale sahani moja na mim, wacha nilisanue karibia kituo kizima cha polis walihamishwa na ule mkoa nikahama mazima
Nimekumbuka limamantilie limoja lilikuwa limanyofoa mavuzii kuweka kwenye vitumbua nikaliona likanibembeleza nisiseme, nikakaa kimya ila nkaachaga kununua kwake