Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Mzanzibara ww labda tulikuwa pamoja milambo
Umenikumbusha mengi sana
Neno warsaw likimaanisha watoto wa t girls lilikuwa na source yake sikumbuki vzr lkn dah hao jamaa wote nilikuwa nao, mwita waibe,jack anyango,deus kibamba, kizito, abuya,
Wakati huo debate za kizungu na french
Kingine kule nyuma kwa mama joha ule wali wa kinyamwezi ulifanya nile ada yote
Wale watt wa mama joha dah....
 
Nakumbuka Ile fainali ya kombe la Mgulunde Kati ya Milambo wanaume na Uyui sec ilichezwa siku mbili na Milambo kuchukua kombe tulitembeza kombe bado tabora boys. Maana macho ya kwanza Uyui tu liwafunga wakatoboa mipira. Acha kabisa.

Hiyo mechi ilikua na uchawi sn! Yani wanafunzi walikua wanaroga sn! Unamkumbuka Shehe Mavumbi? Ndio alikua kwenye Kamati ya ufundi kwa Walambo!

Unalikumbuka bweni la Rugambwa pale Milambo sec?
 
Hujawahi kula Nyama ya Nyati? Maana Uko Ulyankulu ndanindani ndio zilikua zinatoka!

Itetemya kuna bata saafi sana!
Tulikuwa tunakwenda kuwinda bata huko!

Tukirudi tunapitia pale tambukareli kunywa TOGWA!

teh teh teh teh!

Nani anamkumbuka Mr MANIGA!
 
Vipi kwenye Party zenu na wadada Wa T Girls? Na wale Wa Milambo? Wakumbuka mashindano ya kombe la Mihayo na Mgulunde? Vijana Tulikua tunacheza sn mpira! Kweli mboka ni hazina ya vipaji!

Dah, wakati nikiwa Milambo High:
1. Wali wa Tsh 100 mitaa ya chemchem
2. Kuwachapa T. Boys na kuwachukulia galfrnds zao wa pale T.Gals
3. Kombe la mgulunde na vurugu zake
4. Kuvizia vibinti vya Mihayo, Uyui kila joint-mass pale Students Center kwa yule Father mzungu
5. Kwenda kusomea Library ya mkoa siku nzima lunch break mihogo mitaa ya bachu
6. Twisheni mitaa ya Town School
7. Kwenda kwa Wagelozia kwa chocho za Mwinyi, Kitete, Cheyo
8. Kwenda cheap internet cafe kipindi hicho kule Uhazili ndani
9. Kuvizia msosi mkali waliokua wanapikiwa mabinti wa uhazili kila jioni na wkend
10. Vurugu na disko Four Ways
12. Sehemu kali za mtoko zilikua Tbr Hotel na Mayor
13. Namis 'cable' za tbr unatizama kila channel lakini kwa mwezi unalipa Tsh 5,000 na bado wanaiba kwa kuchomeka pini kwenye waya
14. Mwanaisungu kufilisika,kuchanganyikiwa,kufariki
 
Itetemya kuna bata saafi sana!
Tulikuwa tunakwenda kuwinda bata huko!

Tukirudi tunapitia pale tambukareli kunywa TOGWA!

teh teh teh teh!

Nani anamkumbuka Mr MANIGA!

Unamkumbuka Amani Mwenda Wewe?

Yule jamaa alikua pale timu ya Posta na Sim!
 
Dah, wakati nikiwa Milambo High:
1. Wali wa Tsh 100 mitaa ya chemchem
2. Kuwachapa T. Boys na kuwachukulia galfrnds zao wa pale T.Gals
3. Kombe la mgulunde na vurugu zake
4. Kuvizia vibinti vya Mihayo, Uyui kila joint-mass pale Students Center kwa yule Father mzungu
5. Kwenda kusomea Library ya mkoa siku nzima lunch break mihogo mitaa ya bachu
6. Twisheni mitaa ya Town School
7. Kwenda kwa Wagelozia kwa chocho za Mwinyi, Kitete, Cheyo
8. Kwenda cheap internet cafe kipindi hicho kule Uhazili ndani
9. Kuvizia msosi mkali waliokua wanapikiwa mabinti wa uhazili kila jioni na wkend
10. Vurugu na disko Four Ways
12. Sehemu kali za mtoko zilikua Tbr Hotel na Mayor
13. Namis 'cable' za tbr unatizama kila channel lakini kwa mwezi unalipa Tsh 5,000 na bado wanaiba kwa kuchomeka pini kwenye waya
14. Mwanaisungu kufilisika,kuchanganyikiwa,kufariki

Mwanangu kwenye Cable Hapo ata Mimi naitamani Tbr! Maana mambo ya kulipia 140000 full package ya Dstv noma Mkuu!

Unamkubuka Yule mama Mpishi Wa Milambo aliekua anatokea kule chini Makokola?
 
Unamkumbuka Amani Mwenda Wewe?

Yule jamaa alikua pale timu ya Posta na Sim!

Amani.mwenda ilikuwa kila jumamosi tuko nao pale uwanja wa chipukizi jion kupasha viungo moto.

Halafu tunamalizia na student centre kucheza badminton.

Those were good old days!
 
Amani.mwenda ilikuwa kila jumamosi tuko nao pale uwanja wa chipukizi jion kupasha viungo moto.

Halafu tunamalizia na student centre kucheza badminton.

Those were good old days!

Ila Mkuu na Sisi sasa tumezeeka! Km Wewe mwenzangu Nahisi umekaribia 50 ivi!
 
Ila Mkuu na Sisi sasa tumezeeka! Km Wewe mwenzangu Nahisi umekaribia 50 ivi!

Bila ya shaka! Na 50s sio uzee mkuu!
Mi nikiingia uwanjani saa hii nakimbia kama wale nyemela wa itobo!

Teh teh teh!
 
Mwanangu kwenye Cable Hapo ata Mimi naitamani Tbr! Maana mambo ya kulipia 140000 full package ya Dstv noma Mkuu!

Unamkubuka Yule mama Mpishi Wa Milambo aliekua anatokea kule chini Makokola?

15. Dah, Makokola kwenda kucheza volleybal, mihogo ya bwana maneno (alikua anatizamana na njia ya kuingilia Milambo High)
16. Kazima,dah!
 
Bila ya shaka! Na 50s sio uzee mkuu!
Mi nikiingia uwanjani saa hii nakimbia kama wale nyemela wa itobo!

Teh teh teh!

Teh Teh Teh Teh!

Mkuu Yani tumo Wengi humu wale Wa mboka!

Kumbe Mkuu unaweza kimbia km nguchilu Wa kule ipemba mbazi?

Teh Teh Teh!
 
Mnanikumbusha mbaaaaaaaali! Enzi hizo pale Muungano mess disco kama kawa. Vituko kati ya boys na milambo. Likizo moja pale railway station boys iliyoa mkongoto kwa milambo kugombea mabehewa ikamlazimu mkuu wa wilaya akatia timu eneo hilo. Boys enzi hizo yupo marehemu Alexander ndeki akatoa amri boys wote warudi shule waoga walirudi hatimaye wakabaki shule likizo yote. Jamani kwa wale was boys Mr. Katendele, Mikomangwa, wako wapi?

Mi kama nilikuwa nakuona pale ngomasakasi! Karibu na amani hotel.

Au sio wewe!?

Unakumbuka kilabu cha igembensabo na igogo lya kaya cha. Ngambo
 
Unakumbuka kilabu cha igembensabo na igogo lya kaya cha. Ngambo

Teh teh teh
Mkuu umeniacha nikumkumbuke loshi mwehu! Yule dada yangu kila siku lazima akalewe kule ng'ambo akija pale tbr by night ni balaa tu na mzee mushi!
 
Hii ndio mitaa maarufu ya MBOKA, mwinyi mchichani, mwinyi kisarika,bachu,kanyenye,gongoni,mihogoni,isevya,ipuli,chemchem,national,cheyo-A&B,Minazi mikinda, n.k
 
Back
Top Bottom