Nakumbuka Ile fainali ya kombe la Mgulunde Kati ya Milambo wanaume na Uyui sec ilichezwa siku mbili na Milambo kuchukua kombe tulitembeza kombe bado tabora boys. Maana macho ya kwanza Uyui tu liwafunga wakatoboa mipira. Acha kabisa.
Hujawahi kula Nyama ya Nyati? Maana Uko Ulyankulu ndanindani ndio zilikua zinatoka!
Vipi kwenye Party zenu na wadada Wa T Girls? Na wale Wa Milambo? Wakumbuka mashindano ya kombe la Mihayo na Mgulunde? Vijana Tulikua tunacheza sn mpira! Kweli mboka ni hazina ya vipaji!
Itetemya kuna bata saafi sana!
Tulikuwa tunakwenda kuwinda bata huko!
Tukirudi tunapitia pale tambukareli kunywa TOGWA!
teh teh teh teh!
Nani anamkumbuka Mr MANIGA!
Dah, wakati nikiwa Milambo High:
1. Wali wa Tsh 100 mitaa ya chemchem
2. Kuwachapa T. Boys na kuwachukulia galfrnds zao wa pale T.Gals
3. Kombe la mgulunde na vurugu zake
4. Kuvizia vibinti vya Mihayo, Uyui kila joint-mass pale Students Center kwa yule Father mzungu
5. Kwenda kusomea Library ya mkoa siku nzima lunch break mihogo mitaa ya bachu
6. Twisheni mitaa ya Town School
7. Kwenda kwa Wagelozia kwa chocho za Mwinyi, Kitete, Cheyo
8. Kwenda cheap internet cafe kipindi hicho kule Uhazili ndani
9. Kuvizia msosi mkali waliokua wanapikiwa mabinti wa uhazili kila jioni na wkend
10. Vurugu na disko Four Ways
12. Sehemu kali za mtoko zilikua Tbr Hotel na Mayor
13. Namis 'cable' za tbr unatizama kila channel lakini kwa mwezi unalipa Tsh 5,000 na bado wanaiba kwa kuchomeka pini kwenye waya
14. Mwanaisungu kufilisika,kuchanganyikiwa,kufariki
Unamkumbuka Amani Mwenda Wewe?
Yule jamaa alikua pale timu ya Posta na Sim!
Amani.mwenda ilikuwa kila jumamosi tuko nao pale uwanja wa chipukizi jion kupasha viungo moto.
Halafu tunamalizia na student centre kucheza badminton.
Those were good old days!
Ila Mkuu na Sisi sasa tumezeeka! Km Wewe mwenzangu Nahisi umekaribia 50 ivi!
Mwanangu kwenye Cable Hapo ata Mimi naitamani Tbr! Maana mambo ya kulipia 140000 full package ya Dstv noma Mkuu!
Unamkubuka Yule mama Mpishi Wa Milambo aliekua anatokea kule chini Makokola?
Nakumbuka yalikuwa matatu nitajie mengine mawili
Bila ya shaka! Na 50s sio uzee mkuu!
Mi nikiingia uwanjani saa hii nakimbia kama wale nyemela wa itobo!
Teh teh teh!
Mnanikumbusha mbaaaaaaaali! Enzi hizo pale Muungano mess disco kama kawa. Vituko kati ya boys na milambo. Likizo moja pale railway station boys iliyoa mkongoto kwa milambo kugombea mabehewa ikamlazimu mkuu wa wilaya akatia timu eneo hilo. Boys enzi hizo yupo marehemu Alexander ndeki akatoa amri boys wote warudi shule waoga walirudi hatimaye wakabaki shule likizo yote. Jamani kwa wale was boys Mr. Katendele, Mikomangwa, wako wapi?
Mi kama nilikuwa nakuona pale ngomasakasi! Karibu na amani hotel.
Au sio wewe!?
Unakumbuka kilabu cha igembensabo na igogo lya kaya cha. Ngambo