MUFINDI BOY
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 241
- 59
waooh! madafu mmeisahau guys, kwa mrema je? na vp game... camp edward na watoto wa uhaziri mmewasahau dah! nmeimc mboka yani!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mitaa ya nation n'gambo kariakoo na cheyo tuliosoma boys tunahusika sana
nilisoma boizia 95_97, njia yetu kwenda mjin kwa kumuogopa MADAFU ilikuwa chocho za Rufita_National_Kitete_then Kanyenye, tulikuwa tunakula bakora za maafande hasa afande CHACHA_kumamamamake. mahasimu wetu MIRAMBO kwa ajili ya geloz na wote tulikuwa ni mapenz ya barua tu yaan hata mkikutana huwez kumwambia_unapiga story nyingine halaf mwishon unatupia letter akasomee chumban
waooh! madafu mmeisahau guys, kwa mrema je? na vp game... camp edward na watoto wa uhaziri mmewasahau dah! nmeimc mboka yani!.
Pamoja na kwamba maisha ya enzi hizo yalikuwa ya mtulinga lakini watoto kwa vijana si Tabora tu bali hata sehemu zingine walikuwa wanajichanganya kiasi kwamba kuna vitu walikuwa wana gain na ndio maana uzi huu umewaleta wadau wengi waliopita Tabora na kukumbuka those days (hakika maisha ya analojia ya those days nayo yalikuwa yana raha yake kwani watu walijifunza kuongoza wakiwa wadogo kutokana na networking isiyo rasmi, siku hizi digitali mambo yamebadilika aisee kila mtoto / kijana yupo kivyake matokeo yake akimaliza shule akipewa majukumu inamchukua muda kuweza kumudu mikikimiki.nimeziibua kwenye site moja, nayo ina habari nyingi sana za tabora, acha nikupe link ujipakulie mwenye ukifanikiwa nifahamishe please.
Below:
Karibu Uyui Tabora | Uyui
Abasi Mchemba, Qurash Kasimu Ufunguo, Peter Ombopa, Said John, Said Bena!
Unankumbuka Bongisa? George, Mputa? Ally Gabugila? Hawa walikua Timu ya Polisi pale!
Hapo watoto wa police line tunajazwa kwenye karandinga na Isuzu bus haooo uwanjani.Tukirudi tena haooo sido kuangalia video kwa ocd Mwakalukwa.Hapo ni full picha za kihindi(sajan,andha kanoon,sadak,hatya...).Yalikuwa maisha ya raha sana.
waooh! madafu mmeisahau guys, kwa mrema je? na vp game... camp edward na watoto wa uhaziri mmewasahau dah! nmeimc mboka yani!.
Ntuzu
Hivi uwanja wa chipukii bado upo ama watu wamejenga mjengo ? Nakumbuka ulikuwa unatenganisha shuze za Gongoni na Mihayo
Hivi kuna mtu humu anamkumbuka BRUDA DAMIANO ? Laiti angelikuwepo hai mpaka leo Tabora ingekuwa mbali sana Kimpira
Unambie nini mimi kuhusu Tabora a.k.a Mboka Manyema!!!enzi hizo naenda Tabora Boys,mkikaribia steshen mnaambiwa mchunge mizigo yenu maana mnaingia mkoa wa wezi,kulikuwa na wezi wanaiba mpaka mikate ya boflo iliyotundikwa juu.
Mkoa umejaa vichaa na machizi umwinyi mwiiiingiii,Supa Tall,Athuman Nuna anatembea kajifunga miti mdomoni,Mwajuma Ringa,Rais wa Vichaa Bilali,ukija Ng`ambo unamkuta kichaa Amani..anasoma Quran kama ana akili nzuri.
Vilabu vya pombe vimejaa mitaa ya NG`AMBO,mtaa unaitwa Marando na masempele,usiku ni vibatari na makopa plus karanga,hakuna umeme ni giza...mtaa wa rehani na kwihara,wale Waarabu wa Kwihara kina Nassoro mwarabu...wana kanzu chaafu,wanatembea toka kwihara kwa mguu mpak mjini...Eneo lao wameuza kwa kanisa katoliki Tz.
Waha wanalima miwa mbugani,msimu wa mvua ni uyoga,maembe boribo hadi kipindupindu...karibu na NMB Mihayo branch vijana wanauza samaki,vijana wajanja ni wauza mitumba na dagaa wa mwanza/kg.Mitaa ya mzambaraweni hadi chemchem,ukija Kiyungi unamkuta Digala Fifi,alikuwa na pikpiki na magari ya kubeba mbao yameegesha kwake,alikuwa na kashfa ya ngoma...
Watutsi kibao mtaani...ng'ambo mtaa wa mboya kulikuwa na watutsi weusiii kulwa na dotto,mabucha ya nyama ndio kazi zao,Wapi Samuel mitaa ya National??Wapi Mtaa wa Makaranga na Mpepo meya wa zamani??I miss Mboka Manyema
Duh! Umenipitisha mitaa kibao ya Mboka kama napaona vile.Miss you Mboka Manyema.
Nilisoma Cheyo A primary school enzi za mwalimu Chilambo.Wale Wa Kitete na cheo A. Mwamkumbuka Mwalimu Makori? Mlekwa? Misago? Ntabaye? Sabura?
Hahaha, nimepiga sana jolowe na kaka zangu, kuna vindege vingine vidogo vya blue, tulikuwa tunavitega kwa ungo na chenga za mchele sijui vyaitwaje.
Yule chizi, bwana tulikuwa wadogo about 12 na akawa anatuonesha dushe lake, we were just naughty girls.
Ntalali zip mz zinaitwa nsungwii il a matonga sijawahi kuyaona zamba ni adimu