Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

waooh! madafu mmeisahau guys, kwa mrema je? na vp game... camp edward na watoto wa uhaziri mmewasahau dah! nmeimc mboka yani!.
 
nilisoma boizia 95_97, njia yetu kwenda mjin kwa kumuogopa MADAFU ilikuwa chocho za Rufita_National_Kitete_then Kanyenye, tulikuwa tunakula bakora za maafande hasa afande CHACHA_kumamamamake. mahasimu wetu MIRAMBO kwa ajili ya geloz na wote tulikuwa ni mapenz ya barua tu yaan hata mkikutana huwez kumwambia_unapiga story nyingine halaf mwishon unatupia letter akasomee chumban

chacha alikuwa kiboko yenu me enzi hzo nilikuwa mtoto nilikuwa namuona anavyowagalagaza
 
nimeziibua kwenye site moja, nayo ina habari nyingi sana za tabora, acha nikupe link ujipakulie mwenye ukifanikiwa nifahamishe please.

Below:

Karibu Uyui Tabora | Uyui
Pamoja na kwamba maisha ya enzi hizo yalikuwa ya mtulinga lakini watoto kwa vijana si Tabora tu bali hata sehemu zingine walikuwa wanajichanganya kiasi kwamba kuna vitu walikuwa wana gain na ndio maana uzi huu umewaleta wadau wengi waliopita Tabora na kukumbuka those days (hakika maisha ya analojia ya those days nayo yalikuwa yana raha yake kwani watu walijifunza kuongoza wakiwa wadogo kutokana na networking isiyo rasmi, siku hizi digitali mambo yamebadilika aisee kila mtoto / kijana yupo kivyake matokeo yake akimaliza shule akipewa majukumu inamchukua muda kuweza kumudu mikikimiki.

Nimecheck soko moja kwenye link uliyotoa machozi yakanilengalenga maana kama watu mwaka 1970 waliweza kuwa na maona ya kujenga soko kama lile, sijui kwanini tunashindwa sasa hivi kufanya hivyo katika kiwango cha juu zaidi ya hicho
http://uyui.files.wordpress.com/2011/04/soko-la-tabora.jpg?w=780
 
Kuna mtu anakumbuka zile game za Kikapu za East na West pale Uhazili? Kuna wakati hadi spika zilikuwa zinafungwa pale game linapingwa balaa na mziki mkubwa juu. Ile ilikuwa kila Jumapili kama sikosei, kulikuwa na ushindani kinoma. Enzi hizo ndo kikapu kilikuwa kikapu Mboka Manyema. Siku hizi sijui kama bado utamaduni huu upo, dah! Mboka bana.
 
Mi Tabora nakumbuka UHAZILI tu. Nimekaa miaka minne pale.
 
Abasi Mchemba, Qurash Kasimu Ufunguo, Peter Ombopa, Said John, Said Bena!

Unankumbuka Bongisa? George, Mputa? Ally Gabugila? Hawa walikua Timu ya Polisi pale!

Hapo watoto wa police line tunajazwa kwenye karandinga na Isuzu bus haooo uwanjani.Tukirudi tena haooo sido kuangalia video kwa ocd Mwakalukwa.Hapo ni full picha za kihindi(sajan,andha kanoon,sadak,hatya...).Yalikuwa maisha ya raha sana.
 
Hapo watoto wa police line tunajazwa kwenye karandinga na Isuzu bus haooo uwanjani.Tukirudi tena haooo sido kuangalia video kwa ocd Mwakalukwa.Hapo ni full picha za kihindi(sajan,andha kanoon,sadak,hatya...).Yalikuwa maisha ya raha sana.


Wale watoto Wa OCD mabauncer!
 
Nani anamkumbuka yule mchonga mihuli wa pale karibu na duka la Bora, alikuwa anaitwa Mudi, alikuwa na pikipiki Yamaha, jamaa baadaye alikuja kuwa na hela ghafla, watu wakawa wanahisi alikuwa apiga deal za Bank na mihuli yake, alikuwa anaweka Curl kwenye nywele zake na kuvaa manguo marefu ya gharama enzi hizo (kama ya Ki-Nigeria hivi)

'Lukansola' Kuna familia flani hivi pale town ilikuwa na watoto wengi wa kiume na majina yao yalikuwa yanaanzia na A wote hata wa kike. Unaifahamu hiyo familia mkuu? Nimesahau majina yao. Pls nikumbshe
 
Ntuzu

Hivi uwanja wa chipukii bado upo ama watu wamejenga mjengo ? Nakumbuka ulikuwa unatenganisha shuze za Gongoni na Mihayo

Hivi kuna mtu humu anamkumbuka BRUDA DAMIANO ? Laiti angelikuwepo hai mpaka leo Tabora ingekuwa mbali sana Kimpira
 
Ntuzu

Hivi uwanja wa chipukii bado upo ama watu wamejenga mjengo ? Nakumbuka ulikuwa unatenganisha shuze za Gongoni na Mihayo

Hivi kuna mtu humu anamkumbuka BRUDA DAMIANO ? Laiti angelikuwepo hai mpaka leo Tabora ingekuwa mbali sana Kimpira

Ule uwanja upo mpk Leo!
 
Unambie nini mimi kuhusu Tabora a.k.a Mboka Manyema!!!enzi hizo naenda Tabora Boys,mkikaribia steshen mnaambiwa mchunge mizigo yenu maana mnaingia mkoa wa wezi,kulikuwa na wezi wanaiba mpaka mikate ya boflo iliyotundikwa juu.
Mkoa umejaa vichaa na machizi umwinyi mwiiiingiii,Supa Tall,Athuman Nuna anatembea kajifunga miti mdomoni,Mwajuma Ringa,Rais wa Vichaa Bilali,ukija Ng`ambo unamkuta kichaa Amani..anasoma Quran kama ana akili nzuri.
Vilabu vya pombe vimejaa mitaa ya NG`AMBO,mtaa unaitwa Marando na masempele,usiku ni vibatari na makopa plus karanga,hakuna umeme ni giza...mtaa wa rehani na kwihara,wale Waarabu wa Kwihara kina Nassoro mwarabu...wana kanzu chaafu,wanatembea toka kwihara kwa mguu mpak mjini...Eneo lao wameuza kwa kanisa katoliki Tz.
Waha wanalima miwa mbugani,msimu wa mvua ni uyoga,maembe boribo hadi kipindupindu...karibu na NMB Mihayo branch vijana wanauza samaki,vijana wajanja ni wauza mitumba na dagaa wa mwanza/kg.Mitaa ya mzambaraweni hadi chemchem,ukija Kiyungi unamkuta Digala Fifi,alikuwa na pikpiki na magari ya kubeba mbao yameegesha kwake,alikuwa na kashfa ya ngoma...
Watutsi kibao mtaani...ng'ambo mtaa wa mboya kulikuwa na watutsi weusiii kulwa na dotto,mabucha ya nyama ndio kazi zao,Wapi Samuel mitaa ya National??Wapi Mtaa wa Makaranga na Mpepo meya wa zamani??I miss Mboka Manyema

Duh! Umenipitisha mitaa kibao ya Mboka kama napaona vile.Miss you Mboka Manyema.
 
Duh! Umenipitisha mitaa kibao ya Mboka kama napaona vile.Miss you Mboka Manyema.

1395181555659.jpg
 
Wale Wa Kitete na cheo A. Mwamkumbuka Mwalimu Makori? Mlekwa? Misago? Ntabaye? Sabura?
Nilisoma Cheyo A primary school enzi za mwalimu Chilambo.
Nawakumbuka ma class mate wangu wakina Shauki, Msami, Michikwanga, Albert Newton, Denis, Masala, Koku, Lucy, Anita, Restituta, Grace Chilambo.
Pia nilisoma kidogo Kitete primary school na kina Palangale, Ojuku, Mwombeki.
Looong time ago, I wish ningefahamu hao wote wapo wapi sasa hivi.
 
Hahaha, nimepiga sana jolowe na kaka zangu, kuna vindege vingine vidogo vya blue, tulikuwa tunavitega kwa ungo na chenga za mchele sijui vyaitwaje.

Yule chizi, bwana tulikuwa wadogo about 12 na akawa anatuonesha dushe lake, we were just naughty girls.

Navikumbula vile videge, sisi tulikuwa tunavitega na mfuniko wa pipa. Siku moja nikakikamata kimoja kikajifanya kimekufa, nikakiweka chini, ghafla kikaruka kikatokomea.
 
Back
Top Bottom