Mkuu, mimi naamini Mungu yupo na siamini kwamba alituumba bila kutupa mwongozo. Akili ya binadamu ina mipaka na dhamiri za watu hutofautiana.Moja kwa moja ...
Kuna kundi la watu kubwa wanaoamini uwepo wa Mwenyezi Mungu ila wanasema dini ni utapeli wakimaanisha hizi dini mbili maarufu Uislamu na Ukristo na kwamba Mungu yupo kweli ila hakuketa dini, vitabu , miongozo wala kutuma wajumbe (Manabii na Mitume )
Nauliza je , inawezekana Mwenyewe Mungu atuumbe tu Kisha asiweke miongozo na utaratibu kwa viumbe wake kuishi ? kama hata familia ,shule , taasisi , nchi nk Kuna miongozo na kanuni vipi kwa wanadamu tuliumbwa na kuachwa bure ?
Je , unatambua vipi kuwa jambo hili zuri au baya na kwa kutumia vigezo vipi ?
Tukisema kwa kutumia akili na utashi wa kawaida je , utashi wa mtu ukaaamua ni ruhusa mtu kumuoa na kumuingilia mwanae au mtoto wake tunaweza vipi kumkubalia au kumkatalia ?
Utashi na akili ishafeli binadamu kukubaliana kwenye uovu na shari ndio maana unakuta Sheria mbalimbali zinabadilika kutokana na wakati au mahali . Mfano baadhi ya sehemu kujiua ni ruhusa ipo kisheria , baadhi ya sehemu ni makosa , nyakati za zamani biashara ya utumwa ilikuwa inaonekana ni jambo la kawaida sasa haionekani hivyo .
Hata Jf waliounda hawakuiacha bure waliweka Sheria , miongozo na mipaka katika majadiliano . Hii simu ninayotumia sasa nilikuta Manual guide ya jinsi ya kutumia pomoja na precautions wakati nanunua .
Je , wewe unayeamini katika Mungu na kukataa kuwa hakuacha miongozo ya dini kwa wanadamu unatumia nini kupima Shari na Uovu .
Kama Kuna aliyemuumba Mwanadamu ambaye ni Mungu je ,inawezekana kumuacha bure tu bila muongozo juu ya namna gani aishi ?
#Uzi Tayari
View attachment 3687696
msaada wa AI, Objective morality is the philosophical idea that moral truths (what is right or wrong) exist independently of human opinions, feelings, or cultural beliefs.Fafanua hiyo 'objective morality ' mkuu wamatumbi tuelewe .
Mbona wapo ambao wamefanya hayo kulala watu wa familia ?Evolution ndio inakufanya usimtamani kingono mtoto wako, dada yako, kaka yako, mdogo, wazazi wako na ndugu wengine wa karibu, sio dini.
Dini hazikukataza utumwa,Moja kwa moja ...
Kuna kundi la watu kubwa wanaoamini uwepo wa Mwenyezi Mungu ila wanasema dini ni utapeli wakimaanisha hizi dini mbili maarufu Uislamu na Ukristo na kwamba Mungu yupo kweli ila hakuketa dini, vitabu , miongozo wala kutuma wajumbe (Manabii na Mitume )
Nauliza je , inawezekana Mwenyewe Mungu atuumbe tu Kisha asiweke miongozo na utaratibu kwa viumbe wake kuishi ? kama hata familia ,shule , taasisi , nchi nk Kuna miongozo na kanuni vipi kwa wanadamu tuliumbwa na kuachwa bure ?
Je , unatambua vipi kuwa jambo hili zuri au baya na kwa kutumia vigezo vipi ?
Tukisema kwa kutumia akili na utashi wa kawaida je , utashi wa mtu ukaaamua ni ruhusa mtu kumuoa na kumuingilia mwanae au mtoto wake tunaweza vipi kumkubalia au kumkatalia ?
Utashi na akili ishafeli binadamu kukubaliana kwenye uovu na shari ndio maana unakuta Sheria mbalimbali zinabadilika kutokana na wakati au mahali . Mfano baadhi ya sehemu kujiua ni ruhusa ipo kisheria , baadhi ya sehemu ni makosa , nyakati za zamani biashara ya utumwa ilikuwa inaonekana ni jambo la kawaida sasa haionekani hivyo .
Hata Jf waliounda hawakuiacha bure waliweka Sheria , miongozo na mipaka katika majadiliano . Hii simu ninayotumia sasa nilikuta Manual guide ya jinsi ya kutumia pomoja na precautions wakati nanunua .
Je , wewe unayeamini katika Mungu na kukataa kuwa hakuacha miongozo ya dini kwa wanadamu unatumia nini kupima Shari na Uovu .
Kama Kuna aliyemuumba Mwanadamu ambaye ni Mungu je ,inawezekana kumuacha bure tu bila muongozo juu ya namna gani aishi ?
#Uzi Tayari
View attachment 3687696
Ni binadamu wachache sana wanaotamani kufanya mapenzi na ndugu zao wa karibu, wengine ni maagizo ya waganga. Hata bila Sheria za dini binadamu wengi hawawezi kuwa na hamu ya ngono na watoto wao au wazazi wao.Mbona wapo ambao wamefanya hayo kulala watu wa familia ?
Darwinian paradoxJe , vipi kuhusu wanaume kulana mbona wanakulana sana tu hiyo evolution inafanyaje kazi ?
Sijasema Dini inakataza utumwa , nimezungumzia jamii ya kipindi hiko na ya sasaDini hazikukataza utumwa,
Dini ya WaIsrael iliwaagiza waue wafilisti, Waameleki na mataifa wengine,
Muhammad alioa mtoto wa miaka 6,
Muhammad aliruhusu wanawake mateka wa vita watumike kingono,
Muhammad aliwatoza wasio Wakristo tozo ili kuishi chini ya himaya ya Uislamu,
Quran inaagiza kuwaua wasioamini,
Kuna vita za kidini
Maadili yako wapi katika haya yote ??
Hapo nimekuonyesha maadili hayatokani na dini, kwa sababu kama maadili yanatokana na dini basi utumwa ungeandikwa kama mojawapo ya dhambi kuu kwenye Biblia na Quran.Sijasema Dini inakataza utumwa , nimezungumzia jamii ya kipindi hiko na ya sasa
Hayo ni matokeo ya kufuata Uislamu kwa propaganda na mitandaoni bila kutumia akili na kusoma .Dini hazikukataza utumwa,
Dini ya WaIsrael iliwaagiza waue wafilisti, Waameleki na mataifa wengine,
Muhammad alioa mtoto wa miaka 6,
Muhammad aliruhusu wanawake mateka wa vita watumike kingono,
Muhammad aliwatoza wasio Waislamu tozo ili kuishi chini ya himaya ya Uislamu,
Quran inaagiza kuwaua wasioamini,
Kuna vita za kidini
Maadili yako wapi katika haya yote ??
Kwanza wewe ni Atheist au theist ?Ni binadamu wachache sana wanaotamani kufanya mapenzi na ndugu zao wa karibu, wengine ni maagizo ya waganga. Hata bila Sheria za dini binadamu wengi hawawezi kuwa na hamu ya ngono na watoto wao au wazazi wao.
Kuoa mtoto wa miaka 6 ni ujima na pedophilea, iwe unafanya naye ngono au hufanyi naye.Hayo ni matokeo ya kufuata Uislamu kwa propaganda na mitandaoni bila kutumia akili na kusoma .
Kuoa Binti ya miaka 6 , Uislamu unaruhusu lakini kuwa make rasmi kutumikia ndoa mpaka mtu afikie umri wa kubaleghe kama Mwanamke avunje ungo na aridhie , sasa ubaya uko wapi mtu akishakomaa kwa ajili ya ndoa kuolewa ?
Point nilizoweka rangi nyekundu na Nyeusi huoni kama unajiContradict mwenyewe ? ndio maana nawaambia someni na tumieni akili .
Kwenye nyeusi umesema "Muhammad aliwatoza wasio Waislamu tozo ili kuishi chini ya himaya ya Uislamu " kwenye nyekundu umesema " Qur'an imeagiza kuwa wasio amini "
Kama wasioamini wanahitajika kuuwawa unconditionally Sasa kwa nini kuwe na tozo kwa wasioamini wakati kila siku mnasema Uislamu unahimiza kuuwa Makafiri (Wasioamini ) ?
Maumivu na mateso.Na nyenzo ipo bora wanadamu watumie kuJudge maadili ?
Lilikuwa jambo la kawaida sana wakati wao , hata ulimwengu wa sasa Kuna mambo ambayo miaka ya 80s , 90s yalikuwa kawaida na mtu hashangai ila sasa habari nyingine . Mfano umri wa kuanza shule na kumaliza watu walikuwa wakubwa mno tofauti kabisa na sasa ., Gaza , Algeria masinagogi bado yapo nkKuoa mtoto wa miaka 6 ni ujima na pedophilea, iwe unafanya naye ngono au hufanyi naye.
Kujichanganya (contradictions) kwa vitabu vya dini ni jambo la kawaida sana, hiyo ni dalili nyingine hivyo vinavyoitwa vitabu vya mungu viliandikwa tu na kukusanywa na watu wasio na elimu, teknolojia na maendeleo sasa hivi yanawaumbua.
Unafikiri kuna wakati mungu atafanya mabadiliko katika suala la maadili kuruhusu ushoga??Lilikuwa jambo la kawaida sana wakati wao , hata ulimwengu wa sasa Kuna mambo ambayo miaka ya 80s , 90s yalikuwa kawaida na mtu hashangai ila sasa habari nyingine . Mfano umri wa kuanza shule na kumaliza watu walikuwa wakubwa mno tofauti kabisa na sasa .
Hakuna contradiction hiyo ni dalili kuwa nyinyi wafuata propaganda na sio wasomaji , wafuatiliaji na hamtumii akili , historically hata kwa maandiko Uislamu walikuwa na jamii za dini mbalimbali wakiwa wao watawala bila kuwauwa na waliacha mpaka nyumba zao za ibada waabudu kwa uhuru ndio maana Leo ukienda Misri unakuta makanisa ya kale