Nimeshakuambia binadamu wengi hawana tamaa ya ngono ya wazazi wao au ndugu zao, pili incest inaleta suffering.Akija mwanao kamuelewa Mama yako ambaye Bibi yake anataka kumuoa kwa vile ni Mwanamke kama Mwanamke mwingine .
Naomba utumie hizi nyenzo kupiga au kukataa
Huelewei hata unachosimamia.Simfahamu , na huko ni kujadili mambo ambayo siwezi kuyafikia sababu sijui siri zake
Mkuu una haki ya kumuweka Einstein profile picture. Reasoning yako nimeielewa👏Huelewei hata unachosimamia.
Kwa majibu kama haya Itoshe kusema Kuna nati zimelegea kichwaniSimfahamu , na huko ni kujadili mambo ambayo siwezi kuyafikia sababu sijui siri zake
Mbona haujibu unasema binadamu swali unasema binadamu wengi wakati wapo wachache wamefanya hayo ? hata kwa Data wanaume wengi hawalani wenyewe kwa wenyewe na wanaume mashoga ni wachache je , ushoga haupaswi kujadiliwa ?Nimeshakuambia binadamu wengi hawana tamaa ya ngono ya wazazi wao au ndugu zao, pili incest inaleta suffering.
Kama ufahamu sasa fahamu France, Russia, Portugal, Spain, Belarus, Estonia, Latvia na Ukraine hakuna hata Sheria za kuzuia ngono kati ya wazazi au ndugu wa karibu na bado hakuna mahusiano au ndoa za ndugu (incest) hata kati ya wapwa kama Uarabuni kwenye dini, na hizo nchi zote zimejaa atheists. Unalazimisha tu kitu ambacho hakipo, labda ni fantasy yako zaidi ustadh😁
Kuna baadhi ya mambo yanabadilika mengine hayabadiliki , kubadilika kunatokana na hekima zake na uhitaji za zama husika .Unafikiri kuna wakati mungu atafanya mabadiliko katika suala la maadili kuruhusu ushoga??
Maana maadili ya mungu wako yanaenda na nyakati.
Mbona haujibu unasema binadamu swali unasema binadamu wengi wakati wapo wachache wamefanya hayo ? hata kwa Data wanaume wengi hawalani wenyewe kwa wenyewe na wanaume mashoga ni wachache je , ushoga haupaswi kujadiliwa ?
Je , unajuaje kama mbeleni miaka 50+ itakuwa jambo la kawaida una ufahamu kuwa kuacha Ukiristo nchi ya Uingereza zamani ilikuwa nadra sana kwa na inaketa suffering lakini sasa kwa Ukiristo sio Majority religion katika nchi ya Uingereza na watu chini ya asilimia 50% ndio wakristo tofauti kabisa na miaka ya nyuma ?
Kama suffering ndio nyenzo unayotumia kujadili uovu na shari mbona karibia kila kitu kina suffering ? kutafuta pesa na kusoma , ndoa nk kote Kuna suffering
Hivi ukiamua na kama unaweza kufanya mapenzi na mama au dada yako inawaathiri vipi binadamu wengine??Mbona haujibu unasema binadamu swali unasema binadamu wengi wakati wapo wachache wamefanya hayo ? hata kwa Data wanaume wengi hawalani wenyewe kwa wenyewe na wanaume mashoga ni wachache je , ushoga haupaswi kujadiliwa ?
Je , unajuaje kama mbeleni miaka 50+ itakuwa jambo la kawaida una ufahamu kuwa kuacha Ukiristo nchi ya Uingereza zamani ilikuwa nadra sana kwa na inaketa suffering lakini sasa kwa Ukiristo sio Majority religion katika nchi ya Uingereza na watu chini ya asilimia 50% ndio wakristo tofauti kabisa na miaka ya nyuma ?
Kama suffering ndio nyenzo unayotumia kujadili uovu na shari mbona karibia kila kitu kina suffering ? kutafuta pesa na kusoma , ndoa nk kote Kuna suffering
Kwanza kibaolojia haiwezekani kuijaza Dunia kwa miaka 6000 kupitia watu wawili na kama inawezekana ungekuta Dunia imejaa matahaira na watu wenye matatizo makubwa ya kila aina ya kurithi.Kuna baadhi ya mambo yanabadilika mengine hayabadiliki , kubadilika kunatokana na hekima zake na uhitaji za zama husika .
Mfano zamani watato wa Nabii Adam (Peace be upon him ) zama zake ilikuwa ndoa ya wanafamilia ruhusa sababu ilikuwa lazima iwe hivyo kuendeleza kizazi . Hakujawahi kuwa na uhitaji na ulazima wa kuruhusu ushoga
Unaenda nje ya mada kuhamia kutetea mashoga na kujadili maadili aliyoweka Mungu , mada ilikuwa inahitaji nyenzo mpya nyingine na sio kujadili kwamba kutumia Mungu katika kupima maadili ni Wrong or Right , hapa ilikuwa kujadili hizo nyenzo mpya kuona kama zinafaa na hazina contradiction na .
Sasa mbona wewe unauliza habari za watu kutombana na wazazi au watoto wao??Jadili kitu ambacho kipo na sio cha fikra za mbali .
Sawa na mtu unamuambia eti unaonaje ukiwa Shoga wakati rijali au unaonaje ungekuwa Mwanamke wakati Mwanaume , huo ni upuuzi
Watu hawajui hapo china wanaume wanakulana kuliko wanavokula wanawakeKwanza kibaolojia haiwezekani kuijaza Dunia kwa miaka 6000 kupitia watu wawili na kama inawezekana ungekuta Dunia imejaa matahaira na watu wenye matatizo makubwa ya kila aina ya kurithi.
Hata hivyo huyo Adam na Hawa ni fiction story tu ya kwenu Waislamu, Wakristo na Wayahudi. Nusu ya dunia hawamtambui Adama na Hawa, kwa hiyo usiongelee fiction zako hapa kama ndio ukweli thabiti na wa pekee unaokubalika kote duniani.
Again, jamii nyingi duniani ushoga haijawahi kuwa jambo kubwa la kuwashughulisha kama ilivyo kwa Waislamu na Wakristo. Mfano China ushoga hawajui kuwa ishu kwao tangu ancient China
Hakika, hii nayo ya mafundisho tofauti kila dini ni ishara kwamba hizi dini wala hazijatoka kwa mungu. Upande mmoja wanasema pombe ni haramu, upande mwingine ni halali, wengine wanasema kuoa mpwa na sahihi wengine haifai, wengine mshamehe adui yako saba mara sabini wengine mwizi akiiba akatwe mikono.Alaf mleta mada dini zingekua zimeletwa na mungu kusingekua na dini tofauti,
Mungu huyohuyo aseme mimi nioe mke mmoja kisha mungu huyohuyo aseme mwingine aoe wake wanne
Bila kuwa na mjadala kwa point hiyo inatosha kujua kwamba hizo dini zenu ni usengerema
Kuna wengine wanakataa na wengine wanakubaki ndio maana inaketa chaos kwenye order and laws ndio maana nikauliza kama tumeamua tusiongozwe na Sheria za Mungu tutumie mfumo upi ili jambo likubalike ? maana wewe unaweza kuwaza hivyo wengine wakawaza vingineHivi ukiamua na kama unaweza kufanya mapenzi na mama au dada yako inawaathiri vipi binadamu wengine??
Una mfano mmoja wa karibu wa mzazi aliyeingia kwenye mapenzi ya hiyari na mtoto wake wa kumzaa hata kwa siri??Sababu kipo na kinaendelea kuwepo mpaka sasa
October 29Limeshatokea tayari , zama hizi hao watu wapo .