adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
- Thread starter
- #41
Mimi niliwahi kutenga muda kufikiri kuhusiana na uwepo wa Mungu kama ni kweli au tumepigwa nikajiuliza maswali mengi pamoja na kusoma na kusikiliza hoja mbalimbali kama vile uwepo wa maovu , njaa ,vita nk Jawabu la udadisi wangu nikafikia conclusion kuwa Mungu yupo .Alaf mleta mada dini zingekua zimeletwa na mungu kusingekua na dini tofauti,
Mungu huyohuyo aseme mimi nioe mke mmoja kisha mungu huyohuyo aseme mwingine aoe wake wanne
Bila kuwa na mjadala kwa point hiyo inatosha kujua kwamba hizo dini zenu ni usengerema
Nikaja upande wa dini , nikafanya tafiti kuhusiana na dini nikajiridhisha kufuata ninachoamini , kama Mungu yupo lazima atakuwa na muongozo wake na ndiyo dini ya kweli jukumu lako kama unavyotafuta pesa basi utafute njia ya kweli , sikubaliani kiwa Kuna dini za Mungu tofauti bali misimamo wangu lazima dini yake iwe Moja ndio njia ya kweli nyingine zitakuwa ni dini za kujitungia tu