Kwa wale wanaoamini uwepo wa Mungu na kukataa dini yake je , uovu na shari mnatambuaje ?

Mimi niliwahi kutenga muda kufikiri kuhusiana na uwepo wa Mungu kama ni kweli au tumepigwa nikajiuliza maswali mengi pamoja na kusoma na kusikiliza hoja mbalimbali kama vile uwepo wa maovu , njaa ,vita nk Jawabu la udadisi wangu nikafikia conclusion kuwa Mungu yupo .

Nikaja upande wa dini , nikafanya tafiti kuhusiana na dini nikajiridhisha kufuata ninachoamini , kama Mungu yupo lazima atakuwa na muongozo wake na ndiyo dini ya kweli jukumu lako kama unavyotafuta pesa basi utafute njia ya kweli , sikubaliani kiwa Kuna dini za Mungu tofauti bali misimamo wangu lazima dini yake iwe Moja ndio njia ya kweli nyingine zitakuwa ni dini za kujitungia tu
 
Tumia mfumo wa ushahidi wa kisayansi kuonyesha shida za migogoro ya mirathi na risk kubwa ya kuzaa matahaira kwa watu walioamua kutombana na wazazi wao.
 
Hiyo dini ni ipi?
 
Una mfano mmoja wa karibu wa mzazi aliyeingia kwenye mapenzi ya hiyari na mtoto wake wa kumzaa hata kwa siri??
Huu hapa soma kwa umakini na utafute huo Uzi Jf , na naweza kukupa visa vingine vingi tu kwa ushahidi
 
Huu hapa soma kwa umakini na utafute huo Uzi Jf , na naweza kukupa visa vingine vingi tu kwa ushahidiView attachment 3687848
Ndio uone hoja yako ilivyo ya kipuuzi isivyo na mashiko, inabidi ukaokoteze story ya udaku ya miaka mitatu iliyopita ya changamsha genge isiyoweza kufuatiliwa au kuthibitishwa na mtu yoyote.
 
Hiyo dini ya kweli ni ipi ?
Kwa nini unafikiri hiyo ndio dini ya kweli?
 
Unapozaliwa hakuna anayekufundisha kunyonyq ila unajikuta unajua ndio ilivyo hata kama hujaenda kanisani au msikitini kufunzwa chochote MUNGU amekupa uwezo wa kutambua mema na mabaya hivyo hakuna haja ya kujisumbua na vingine. Ww epuka zambi
 
Kwani hiyo AKILI uliyopewa ni ya Nini mkuu? Si ili uweze kupambaniua lililo sahihi na lisilo sahihi , Dunia ni nyumba ya mtihani!!!!
 
Mungu mmoja anasema kuoa mwanamke mmoja na hukuna talaka halafu upande mwingine anasema kuoa wanawake wengi na talaka ruhusa tu
 
Moja kati ya zawadi tuliyopewa na Mungu katika maisha haya ni (free will) maswali yote yanajibiwa na uelewa huu
 
Kwani hiyo AKILI uliyopewa ni ya Nini mkuu? Si ili uweze kupambaniua lililo sahihi na lisilo sahihi , Dunia ni nyumba ya mtihani!!!!
Kwamba Mungu akileta jumbe sahihi na sio sahihi ili uwe mtihani?
 
Ndio uone hoja yako ilivyo ya kipuuzi isivyo na mashiko, inabidi ukaokoteze story ya udaku ya miaka mitatu iliyopita ya changamsha genge isiyoweza kufuatiliwa au kuthibitishwa na mtu yoyote.
Kila siku nakujua kuwa kilaza ila Leo rasmi nakuweka kundi la Vilaza pro max wa Jf .

Umetaka Ushahidi umleletewa taarifa yenye strong evidence na video ipo humo imethibitishwa na kwenye Uzi Kuna shuhuda mbalimbali sasa unataka ushahidi upi ?
 
Wewe acha upuuzi wako mfano "wa karibu" ungenipa labda wa mama yako, shangazi zako, dada zako, wapwa zako, majirani, wafanyakazi wenzako au marafiki zako na sio upuuzi wa kuokoteza JF
 
Wewe acha upuuzi wako mfano "wa karibu" ungenipa labda wa mama yako, shangazi zako, dada zako, wapwa zako, majirani, wafanyakazi wenzako au marafiki zako na sio upuuzi wa kuokoteza JF
Mbona Mimi kwenye mashoga sina rafiki , jirani familia Wala ndugu na Kwenye Freemason hivyo hivyo .

Kwa sababu hiyo niseme hakuna Mashoga na Ma Freemason Duniani ?
 
Mbona Mimi kwenye mashoga sina rafiki , jirani familia Wala ndugu na Kwenye Freemason hivyo hivyo .

Kwa sababu hiyo niseme hakuna Mashoga na Ma Freemason Duniani ?
Kelele za ushoga na freemasons ni za watu wapumbavu pia.

Anko T sio jirani yako ??
 
Ngoja tutafute kwanza chanzo cha uovu.

Ikiwa mwenyezi ndio mpangaji wa yote, nini hasa chanzo na lengo la uovu katika mipango yake?

Bonus question:
Kwanini Mungu alimuumba Shetani?

adriz de mbuzi
 
Mkuu kuna vitu mtu naturally unahisi ni vibaya au vizuri bila hata kufikiria dini yako inakuamrisha vipi kuhusu vitu husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…