Victims watalipwa siku ya mwisho ambayo ni siku ya haki na hesabu . Kila aliyedhulumu na aliyedhulumiwa atalipwa siku hiyo bila kupunjwa ChochoteKama aliijua alichukua hatua Gani kuokoa victims kama watoto wadogo waliokufa siku ile
Huona tayari Kuna utata hiyo naturally concept ?Mkuu kuna vitu mtu naturally unahisi ni vibaya au vizuri bila hata kufikiria dini yako inakuamrisha vipi kuhusu vitu husika.
Umeletwa uovu ili wema wajulikane sawasawa bila Giza tusingejua umuhimu wa Nuru.Ngoja tutafute kwanza chanzo cha uovu.
Ikiwa mwenyezi ndio mpangaji wa yote, nini hasa chanzo na lengo la uovu katika mipango yake?
Bonus question:
Kwanini Mungu alimuumba Shetani?
adriz de mbuzi
🚮🚮🚮Uislamu
Nafsi siku zote inajipendelea yenyewe na Ina ubinafsi .Ukiwa ndani kabisa na ukaamini uwepo wa Mungu ukiachilia mbali dini
Utagundua nafs inajiongoza ina saut yake ya kukuzuia kufanya mambo yaliyo kinyume na kukuongoza katika mema
Roho ni kitu kisichomithilika yani ukijua Mungu nje ya dini hutokaq uibe,hutakaa useme uongo wala kutenda dhambi yoyote tena binadamu tungekuwa wema kuliko kawaida
Mungu yupo ila kwa mtazamo ambao sisi hatuungalii tunaishi na kufanya mema kwa kuogopa moto
Hivi kujua kwamba huu ni "uovu" na mungu ameukataza(kwa mujibu wa maandiko yake au vyovyote vile) kutakufanya uhisi hatia au kukupelekea kutokufanya huo "uovu" ikiwa nafsi yako yenyewe haioni kama huo ni uovu wala haihisi hatia yoyote baada ya kufanya hiko kitendo?Nafsi siku zote inajipendelea yenyewe na Ina ubinafsi .
Dhana ya nafasi kuuongoza ni dhaifu na haina mashiko , hata Shoga nafsi yake inamuongoza kuwa sio makosa yake kuwa Shoga na ni halali , tapeli Vilevile nafsi yake inamuongoza kutapeli watu na anajihalalishia njia hiyo kama ndio njio sahihi bila kuhisi hatia .
Mimi Kuna kipindi nipo secondary niliwahi kufanya ouvu lakini nafasi ndio ilikuwa inaniongoza na sikuwa sihisi hatia mpaka baadae sana nikagundua kuwa nilikuwa nafanya makosa na sasa nafikiria kuomba radhi kwa muhusika